Kutokana na uhaba wa walimu uliokithiri katika maeneo mengi nchini kwetu haswa walimu wa hisabati na sayansi, nilikuwa naliomba bunge tukufu lije na sheria itayowafanya wahitimu wote wa vyuo bila...
Habari Wakuu!!
Hivi Jana tu serikali kupitia baraza la mitihani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha nne Huku hali ikionyesha ufaulu kuongezeka lakini kiuhalisia Huku mitaani wahitimu...
Aidha, Mkoa wa Dar es Salaam umezorota kielimu baada ya kuwa na shule sita kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho. Shule hizo ni Kitonga na Nyeburu (Dar es Salaam), Masaki (Pwani), Mbopo...
Nina watoto wawili ambao mmoja ana Div 4 ya 26 na mwingine Div 4 ya 27. Jee inawezekana kisheria kurudia mtihani huku wanaendelea kusoma kidato cha tano?
Iv kunauwezekano wa kufanya application kwa kuambatanisha vyeti viwili ama vitatu vya form four?? Maana na mdogo wangu karudia mtihani mara tatu na hatimaye kapata alichokuwa anampango wa kupata...
Wapendwa napenda kupata msaada toka kwenu. Nahitaji chuo cha Afya kwa Dar es Salaam hata Tanga pia inapendeza.
Tena hususani nikipata na fees structure nitashukuru zaidi
Nasikitishwa na kushangazwa kuona tunaletewa kadi za michango ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Marian pale Bagamoyo, wakati hali ya mazingira ya shule zake ni mbaya mno, hata ofisi za waalim na mabweni...
Donald Trump’s 90-day travel ban on citizens from seven Muslim-majority countries — Iran, Iraq, Libya, Somalia, Sudan, Syria and Yemen — struck a chord with academic America.
“The order is...
#USIKATE_TAMAA
Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake,
Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule,
Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4,
Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa,
Akiwa na miaka...
Embu tuwekeeni na ile list pendwa ya wale wanaozidi kutupokea vijiti sisi ma TO wa zamani.. Nina hamu kuwajua vipanga wenzangu.
Tusionane wa kawaida humu watu tunahistoria zetu chafu chafu sana...
Mambo vipi??Hiki ni kipindi ambacho matokeo mengi ya mitihani muhimu yanatoka.Hapa upokeaji unatofautiana kutokana na haiba ya mtu.Mifano michache kati ya mingi ni ule wa baadhi ya wanafunzi...
Sina mengi zaidi ya kuupongeza uongozi wa mkoa, halmashauri, wazazi, wanafunzi na wadau wengine mlioshiriki katika kufikia matokeo haya ya kidato cha pili 2016 yaliyoupa mkoa namba 1 kitaifa...
Nimeumia sana kuona barua za kuomba nafasi za ndugu yangu anayeumwa kifafa anaambiwa asubiri uhamisho uruhusiwe,sasa mtu kama huyu anakàaje mbali nafamilia? Hili jambo limenitoa machozi,lkn Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.