Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mara nyingi nilikuwa nafuatilia sana matokeo ya mitihani za shule za Feza sekondari kila matokeo yakitangazwa unakuta wameshika kumi bora kitaifa. Sasa kwa hili hawa wanatumia mitaala gani hapa...
4 Reactions
40 Replies
8K Views
Nina kijana kafutiwa matokeo, je ni njia gani anaweza kutumia kurudia shule? Je anaweza kuruhusiwa kurudia kidato cha 3? Naomba uzoefu wenu wadau
1 Reactions
4 Replies
801 Views
Habari wadau, Poleni na majukumu ya siku. Kama tunavyojua matokeo ya kidato cha nne yapo hewani tayari nina mdogo wangu wa kike amepata matokeo mabaya, yaani div iv ya 32. Sasa kama kuna mdau...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: www.utumishi.go.tz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Applications are invited for Persephone Miel Fellowships which are open to all journalists, writers, photographers, radio producers or filmmakers, staff journalists as well as freelancers and...
1 Reactions
0 Replies
775 Views
Ufaulu wa wangu huu hapa. Physics= C Chemistry=C Biology=D English language=C Civics=B Kiswahili=D Geography=D History=D B/math=F Mwaka niliomaliza 2010 Je ? Nitaweza kupata chuo cha serikali...
0 Reactions
7 Replies
846 Views
Habari wadau hivi watu wenyevaifa gani ndio huweza kupata scollarship kwakusoma master? Je GPA ya chini ya 3 wanapata?
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Katika mambo yanayotia shaka na kukatisha tamaa Waalim wa Mbogwe ni suala la upatikanaji wa taarifa kwa wakati. Inashangaza sana kuwa ndani ya Mkoa huu wa Geita kuna shule ambazo walishaanza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
HII ya kwamba 'betting' imeathiri matokeo ya Kidato cha IV Dar bado sijaielewa vizuri. Kwamba madogo badala ya kusoma wana-bet au? Nini maoni yako
0 Reactions
24 Replies
3K Views
UKIACHILIA MASHULE YA WAROMANI TULITEGEMEA SHULE ZA KANISA LA KKKT NAZO ZIFANYE VIZURI LAKINI CHA AJABU MASHULE MENGI YA KKKT YAMEBORONGA YAKIONGOZWA NA MTERA YA IRINGA, POMERINI YA IRINGA, MBWAWA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wa past papers za CPA international finance
1 Reactions
0 Replies
583 Views
JINA LA SHULE JINA LA MKUU WA SHULE NAMBA YA SIMU 1: BOKO AMOS MPINGA 0713 - 521676 2 : BUNJU F.NNKO 0719- 884410 3 : FAHARI NOVATUS RWEMERA 0713 - 618002 4 : GOBA A.O. MAPUNDA 0713 -...
0 Reactions
0 Replies
13K Views
Wanabodi, Naomba kuuliza, kati ya wanafunzi waliopata Div 1 kutoka shule za serikali, St. Kayumba na wale wanaopata Div 1 kutoka shule za Academy, ni nani ni vichwa vya ukweli? . Hoja yangu hapa...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
habari, ili upate cheti cha form four uwe na points ngapi, au kuanzia credits gani?
0 Reactions
13 Replies
15K Views
Habari jaman humu, mimi ni mwanafunzi wa Kampala University mwaka wa kwanza (IT) nilikua naomba kujua taratibu za kuhama chuo maana ni gharama sana na akieleweki na ukizingatia mkopo nimekosa na...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
ile hali ya wanasiasa kupenda sifa inaendelea kuonekana ktk mambo mbalimbali ktk elimu yetu hasa kupitia necta. basdhi ni haya 1. kwasasa wameondoa penati kwa waliofeli MATHEMATICS. waliopata F za...
0 Reactions
10 Replies
980 Views
Usihangaike ukitaka kuona matokeo kirahisi yaliyopangwa kwa Alphabet za shule hii hapa na inayofunguka kirahisi hii hapa http://41.188.172.30/matokeo/indexfiles/index_t.htm
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka jana na kupata daraja la tatu. Lakini nmefaulu zaid art subject na sina ndoto za advanc naombeni ushauli nisomee nn kwa haya masomo?.... Kisw C bios...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na uhaba wa shule za wasichana.na ugeni wa kuzifahamu shule.naombeni ushairi
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habarini wadau Nina mpango wa kusomea udereva nipate leseni sasa mnitajie ADA ya kozi ya udereva kwa chuo cha VETA
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Back
Top Bottom