Wakuu nilikuwa nahitaji kujua kama vyeti vya form 4 kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2015 kama vimeshatoka kwa sababu nataka kumchukulia mdogo wangu kutokana na kuwa nimepata...
Wanajamvi naombeni ushauri tafadhali, mimi nimesomea BSc with education kwa Masomo ya Chemistry na Biology, naombeni ushauri juu ya chuo kizuri, chenye ada nafuu ambacho kitaweza kunichukua...
Kamakichwa cha habar kinavyosomeka, kunandugu yangu amepotelewa na bahasha yenyevyeti ndaniyake,vyeti hivyo ni vya form four, cheti cha kuzaliwa, result slip ya diploma ya ualimu na living yale...
Hivi bado mnahakiki tu vyeti vya walimu wa Sayansi na Hisabati!? Mbona majina mnayo toka vyuoni.
Kuweni wawazi kama mlivyokuwa wawazi kwa walimu wa sanaa! Waliumia sana lakini mtu amepewa ukweli...
Ikifika mwezi may wahitimu wengi wanatoka vyuoni na kuingia mtaani kufanya idadi ya intake kuwa 3 bila ajira.! Karibuni tusote wote na tatizo la ajira wengine tushaisoma number then tunangoja...
Habari zenu wandugu
Mimi ni nurse daraja la afsa muuguzi daraja la pili(RN) nipo wilaya ya iramba. Singida ...Natafuta Wakubadilishana nae kituo cha kazi atoke , ARUSHA IGUNGA, DODOMA...
Maana kwa taarifa za chini ya kapeti kuwa bado wana shughulikia walimu walio jiendeleza wa cheti na kupata diploma na degree ,kuamishiwa sec school ndio waangalie wanapelea kwa kiwango kipi ndio...
Nimepita chuo cha Udom Leo nilikuwa na mishe zangu, dah nilikuta pale main administration. Scene ya ajabu sana yani mwanafunzi aliingia akiwa amevaa yale masuruali mapanaa jamani, kuna wadada pale...
habari mie naomba kujua hii mikopo ina aslimia ngapi ya riba, isiwe tunashangilia kuipata wakati wa kulipa tukalia, kwa mfano umekopeshwa million 4 utalipa million ngapi?
Wakuu kama umesoma sehemu yoyote kati ya hizo nilizoainisha hapo juu tutambuane tafadhali tukumbushane yaliyopita na pia wanafunzi wa udaktari tutambuane tupige story tujengane kimawazo
Habar ya majukumu, naomba kwa mwanachuo yoyote anaesoma chuo kikuu cha dsm UD course ya Public admnistration namwomba tafadhali ninashida. Mwaka wa kwanza wa pili au wa tatu, Pm
Vipi humu!!
Kwa wale ambao Mungu alitupa kibali kusoma masomo ya sekondari (o.level na a.level) kwa somo la geography mtakubaliana nami kuwa hili somo unaweza kuliona simple sana, tena paper zake...
Habarini za asubuhi waungwana!
Ninaomba ufafanuzi kuhusu utofauti kati ya PAPER-BASED AND INTERNET-BASED TOEFL TEST kwa yeyote anayejua. natakiwa nifanye test hiyo na nimeambiwa nichague kati ya...
Wana jamvi naomba msaada kwa yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kuchukua mafunzo kwa ajili ya kujiandalia mtihani wa TOEFL kwa Dar es salaam anijuze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.