Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
What are the applications of VOLUMETRIC ANALYSIS
0 Reactions
21 Replies
15K Views
Guys nilikuwa naomba msaada wenu...nasoma LLB mzumbe...na ningependa nihamie LLB UDSM 2nd Semester this year 2017 au 2nd Year 2017-18...when will it be possible and how...!? Please nasikiliza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada tafadhali kwa wanao ifahamu hiyo masters...ukisoma unakuwa nani...ajira zake za kutosha au?
0 Reactions
1 Replies
960 Views
OFID’s Scholarship Program sponsors outstanding young students from developing countries who wish to pursue a Master’s degree studies in a relevant field of development, from any recognised...
2 Reactions
1 Replies
777 Views
Wakuu poleni na kazi na majukumu pia, nimeona ni bora niulize hivi hawa vijana wetu wenye diploma wao hawastaili kupata mikopo wakati sifa pamoja na vigezo wanavyo manake nashindwa kuelewa mpaka...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna shule imefutiwa usajili lakini barua ya kufutiwa imepigwa mhuri Wa neno 'siri' juu na chini. Nimeiona kwa macho. Je huu ni utaratibu au? Kwann isiwe public info.? Nimechunguza nimeona...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau nauliza kama kuna chuo unaweza kusoma kozi za sayansi(engenieering) au elimu ambapo utasoma evening classea bila kuhitajika kabisa muda wa kazi? maana kuna vyuo vinatoa evening classes...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zaidi ya asilimia 91 ya wanafunzi wa elimu ya juu katika chuo cha Kampala International University(KIU) wakosa mikopo. Chanzo: ITV.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza, je mzumbe University Wanadahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza certificate au diploma in marketing?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Poleni kwa uchovu wa kazi ngumu, hongereni kwa kazi nzuri ya kulitumikia taaifa enyi nyinyi watumishi wa wizara ya elimu. nina wazo ktk zoezi la sasa la uhakiki wa vyeti vya wahitimu wa fani ya...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Türkiye Scholarships are intended for candidates from all over the world who want to pursue Master and PhD studies in Turkey. More ~> 2017 TÜRKİYE SCHOLARSHIPS GRADUATE PROGRAM APPLICATIONS –...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Jamani me naomba tu ushauri mwalimu wangu alinifanyia ukatili hakunisajili physics na sikufanya pepa la physics japo ndo pindi nilikuwa nalivunja. Sasa najiuliza maswali sipati majibu vipi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi wa advance form 5, O-level nilisoma sayansi ila kwa sababu nilifeli mathematics nikapangiwa comb ya arts ambayo ni HGL. Kiukweli sipendi arts na shule wamegoma kunibadilishia...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Ndugu wapenzi ni masikitiko yangu sana kuandika hivi kwa kumjulisha ama kumsaidia prof anaependwa sana na watu wengi kwa vioja vinavyotendeka pale chuoni kwake..niliskitika sana kusoma taarifa...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Jaman watanzania Na wasio watanzania mm ni kijana wenu nmehitimi elimu ya sekondar mwaka 2013 katoka hali ambayo mpaka Leo sitak kuamin nilionekana nmefel ila nnajiamin ninaulewa zaid ya wengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutoka kwa maoni ya wachangiaji. 1. Udsm ni chuo kinacho pinga mabadiliko. 2. Kozi nyingi zimepitwa na wakati na kozi mpya zenye uhitaji ktk soko hazifundishwi. 3. Chuo kimekosa ubunifu ktk...
18 Reactions
205 Replies
35K Views
Habari Zenu Waungwana! Naomba Msaada wa vitabu vya Napoleon Hill,isipokuwa vifuatavyo Think And Grow Rich,Succes Through Positive Thinking,na Outwitting The Devil,hivi ninavyo,pia...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni zaidi ya science.... Bila programme hii ya degree ... Tanzania itabaki kuwa jamvi la wageni. Prof Ndalichako unajua ujua umuhimu wa shahada hii,? Mwalimu hayati J. K. Nyerere enzi hizo...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Back
Top Bottom