Mwaka 2014 board ya mikopo ya mikopo ilisimamisha kwa mda wa miezi mitatu hivi kukata malipo ya mikopo kwa wadaiwa kupisha mabadiliko ya utaratibu mpya wa ulipaji mishahara ambao ulikua...
Inasikitisha sana wizara ya elimu badala ya kushughulikia matatizo ya elimu wamekazana kutangaza mara kumi bora mara kushusha walim wakuu madaraka. Hivi katika shule yenye mwl mmoja atafanyaje ili...
MAFUNZO YA HALI YA HEWA (TABIA YA NCHI)
By: Abineri Mwanuke
KARIBU KATIKA MAFUNZO YAHUSUYO MABADILIKO
YA TABIA YA NCHI.
FIGHT AGAINST GLOBAL CLIMATIC CHANGES
COMPAIGN
Tembelea...
Kwa wale waliosoma masuala ya geography, na sayansi kwa ujumla, mnakaribishwa MWEKA chuo cha Utalii kinachotoa elimu ya utalii na kukuhakikishia ajira pindi umalizapo masom yako pia field kwenye...
Naombeni msaada wenu. Mimi ni mwalimu mwaka huu nilitarajia kwenda kujiendeleza kusoma masters ya education ila mpaka leo hii sijapewa ruhusa wanadai eti nikasome open university.
Sasa swali...
Wadau wa Elimu nashindwa kuamini kuwa kweli tumeshindwa kuboresha Elimu katika Nchi Yetu.Binafsi naamini matatizo makubwa ya Elimu Yetu ni pamoja Na Lugha Rasmi ya kufundishia toka Shule ya msingi...
Watu husoma na kusoma hadi tunaambiwa wamepata "degree", napenda kufahamu kwa kutunukiwa hiyo "degree" huwa wamepata nini haswa. Maana tunasikia tu huyu ama yule ana "degree", ndo kuwa na nini?
Wadau nawatahadharishe kitendo cha kukosea na kumpeleka mwanao shule ya kata kitaigharimu elimu ya mwanao. Mwanangu toka ameenda shule wiki iliyopita amefundishwa somo moja tu tena kwa kiwango cha...
Samahani wadau mimi ni mwl wa biashara syllabus mpya kuanzia kidato cha kwanza kuna mada ya Entrepreneurship mpaka kidato cha nne je ni vitabu gani ni vizuri vyenye hii mada..
Habari zenu wajumbe: Nilihitimu degree ya ualimu wa sanaa mwaka 2015. Masomo ya kufundishia ni eng na literature. Sasa kwa hali ilivyo inaonekana hakuna ajira kabisaa kwa wana art na lugha...
Mimi ni mwanachuo hapa nchini. Am always on stake of questions hivi tuna taifa la wasomi au wataalamu wakuibia majibu wasio weza hata kueleza ubora wa elimu wanayoipata vyuoni. I have witnessed...
Heshima kwenu wadau.
Ninaishi kiluvya natafuta kazi ya ualimu kama kichwa cha habari kinavyojieleza, iwe serekalini au private naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kunifanikisha kupata kazi...
Nachukuwa fursa hii kuanzisha utaratibu wa kuanzisha group la wenzangu tuliosomea kozi ya maendeleo ya jamii,Sociology na Social work.Kwa kuzingatia changamoto nyingi zinazotukabili hususan za...
Salaam wakuu
Natumai ni wazima na poleni na pilika za maisha na masomo
Kuna tatizo moja limenikuta siku ya jana nilipofika chuoni (University) kufuata cheti.
Kiufupi ni kwamba graduation ya chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.