heshima kwenu wa janvini...niko katika optional za kusoma moja wapo ya vyuo tajwa hapo juu sasa bado sijajua kipi n best kwa engeenering..japo sijapata sifa za vyuo vya mbali kama MUST na...
Nimekua nikifuatilia mwenendo wa mkuu wa nchi tangu kipindi anatushawishi tumchague.Alikua mtu wa uhakika na wengi waliamini utekelezaji wa anachokiahidi.Moja ya vitu muhimu alivyoahidi ilikua...
Habari wana jf,
Naona deadline ya kuppeal mkopo imekaribia, sasa je kuna uwezekano wa kupata mikopo ya masomo maana maisha ya chuo bila mkopo ni kazi hasa tuliotoka familia za kimaskini.
Ebana kuna wadau waliliia njaa Decemba mwanzoni ,wakasema bumu la pili likiingia tu,wananilipa.
Kuepuka lawama nikawatoa.Mmoja kanilipa before christmas,nafikiri kwa source nyingine.Sasa mwingine...
Wale wenye kumbukumbu Bila Shaka watakumbuka ID hii bas niulize kuhusiana na hio Mada usiulize kua nimerudi lini Tanzania to London uliza maswali yenye tija karibu Sana
Kijana anataka kusomea fani ya ualimu wa kufundisha kwenye vyuo vya udereva wa magari.
Je ualimu huo hutolewa na chuo gani Tanzania?
Gharama yake ni bei gani?
Mafunzo yanatolewa kwa muda gani...
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imepokea fursa za masomo zinazodhaminiwa na Serikali ya Brazil katika ngazi ya Shahada ya Kwanza, Shahada ya Uzamili (Master...
Ndugu zangu habarini za weekend
mimi nina mdogo wangu kamaliza chuo cha serikali tangu mwezi wa tisa diploma ya udaktari katika mojawapo ya vyuo ya serikali vilivyopo nchini lakini kumekuwepo na...
Kama unashida na kitabu chochote kile cha Kiingereza lugha na hasahasa maswala ya IT lakini pia na mambo mengine, wasiliana na mimi kupitia inbox yangu,
NOTE: PDF format only!
Bei kuanzia...
Wakuu wa jamvi hili nahitaji maombi yenu je chuo gan nje ya afrika kinacho toa kozi tajwa hapo juu kama katika nchi za nje kama vile china na other country ningependa kujua gharama za ada na...
Kweli hawa wanafunzi huwa wanaibiwa yaani wanapewa majibu wakati wa mitihani leo nilikuwa naangalia kipindi cha sikonga kinachorushwa na EATV, katika maswali waliyooulizwa hakuna mwanafunzi...
Kila mtoto ana kipaji. Ingawa ni kweli kuwa watu wengi hawatambui vipaji vyao, hiyo hata hivyo, haimaanishi hawana vipaji. Zipo sababu nyingi zinazofanya watu wasitambue vipaji vyao. Kwanza, ni...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili yameachiliwa na NECTA. Wanafunzi wamefaulu kwa asilimia 91 ikiwa ni ongezeko la asilimia mbili...
Ukweli nashindwa kuelewa nacte kazi wanayofanya ukingia kwenye website yao unakuta matangazo ya mwaka Jana ambayo yameisha mda wake kwa wasiyatoe na kuweka update news za mwaka huu ukweli kati ya...
Tafadhalini wana JF naombeni mnisaidie kufahamu kuhusu uhamisho wa walimu, je nikweli mchakato huu umesimamishwa na kama umesimamishwa utafunguliwa lini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.