Wadau
Mimi ni mkurufunzi katika moja ya chuo hapa nchini, nikifanya shahada yangu ya kwanza katika kitivo cha elimu iliyojikita zaidi kwenye utaalamu wa lugha ya kiingereza (BED ARTS-LINGUISTICS)...
TAREHE 12/12/2016 WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILITANGAZA KUWA WAHITIMU WA STASHAHADA NA SHAHADA ZA UALIMU KATIKA MASOMO YA SAYANSI (FIZIKIA, KEMIA, BIOLOJIA) NA HISABATI WA MWAKA 2015...
*TAARIFA KWA UMMA*
*KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA PAMOJA WA UDAHILI KWA KIPINDI CHA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017*
*Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), linapenda...
Naomba kama kuna m2 anafahamu wapi naweza kupeleka new theorems zangu za hesabu (new mathematical invention) zinazo husiana na topic ya complex number ili niweze kuzipublish kwani ni theorems...
Leo 23/01/2017 nacte walisema watafungua dirisha la udahili kwa ngazi ya cheti na diploma mpaka sasa hivi kwenye website yao hakuna jipya matangazo ni ya mwaka Jana tu na hata guide book hawajatoa...
Wakuu nianze salamu habari zenu!!!
Kwa aliyesoma WDMI na yupo kazini au anayeifahamu vzur WDMI naomba anipe comparisons ya upotential wa diploma ya maji na BaED ya DUCE ipi jiwe na inatoa ajira...
Mdogo wangu anataka kusoma shahada ya elimu na matokeo yake haya hapa language E Kiswahili D history E , Je atapata chuo hapa nchini au vyuo vya East Africa?
Wakuu mi naomba msahada nataka kujiunga na chuo cha KCMC ili nisome diploma in nursing kwahiyo naomba msaada kama kuna mtu anafahamu tovuti yao au hata namba ya simu iliniweze kufanya utaratibu...
Habari zenu.
Naomba kuulizia kituo kizuri cha kurisiti mtihani kwa maeneo hasa ya Mwanza au Geita.
Kama unajua kituo kinachofaulisha naomba unijuze nataka nikarisiti mtihani.
Unakuta Chuo kikuu kina sifa zifuatazo wakuu tusaidiane kina hadhi ya kutoa elimu ya Chuo kikuu.
1.Chuo kipo mjini katikati kimezungukwa na barabara kila upande...hivyo kuna makelele ya muziki...
Tunabishana hapa n watu w water quality laboratory wanasema wanaweza soma degree ya civil engineering kwenye vyuo kama dit,must,atc etc je ni kweli wadau, hapa chuo cha maji mm nna soma diploma of...
Habari wakuu.
Mimi nimeandaa Kitabu cha review kwa kidato cha pili lakini nimeshindwa kufanikiwa kuchapisha kitabu hicho kutokana na ukosefu wa fedha.
Hivyo nimejitokeza kwenye ukurasa huu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.