Habari zenu wakuu?
Sorry ase najaribu kufungua website ya NACTE toka jana haifunguki kabisa, ninahitaji kuisoma guidebook kwa wanaoapply kuanzia mwezi huu hadi March.
So please naomba kwa ambaye...
Ualimu ndio taaluma pekee yenye mamluki na makanjanja wengi, taaluma imeingiliwa na watu ambao hawana taaluma ya kazi hii huku wengi wakiwa ni wale waliokuwa wanasema hawawezi kuwa walimu baada ya...
Baada ya kuahirisha mitihan ya semista ya kwanza kwa sababu ya kiafya, niliandika barua mwezi wa tatu nwaka jana ya kuahirisha ( postponement) mitihan michache lakini barua ikachelewa Kutoka kwa...
...hamjambo humu.....?
...nilikua napendekeza kuwe na state kindergarten schools....
...zinakuwa za serikali,na zinafundisha kingereza kama zile private medium school zinavyofanya,
..mzazi awe...
Jamani waungwana hizi tetesi zinaukweli?kunamdau mmoja kanambia kuwa yeye ametuma na akanipa hii ps@tamisemi.go.tz. Lakini nimejaribu bila mafanikio.nimejitokeza humu kutaka kujua kama taarifa...
Wanabodi, nimeona nirudi shule maana uzee nao huo jirani ...nimevutiwa na Masters in international business pale UDSM baada ya kureview programme contents na kujiridhisha kuwa nitaongeza...
Ndugu wana jf,
Kama ilivyo kwa vyuo vikuu kuwabakiza na kuwaendeleza wale vipanga wenye GPA kubwaa wawe walimu kwanini huku ngazi ya chini goli ni kubwa la kila mtu kuweza kusomea ualimu...
Nimeangalia matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kwa kweli hali ni mbaya sana.
Kuna shule ilikuwa na wanafunzi 250+, kati yao 75 wamefeli kabisa na hivyo wanatakiwa kukariri darasa la...
Nikianza na wale wenye principal pass E ya mwaka 2013, na principal pass D ya mwaka 2014-2015 na hawa ndugu zetu wa diploma wenye gpa ya 2.0-2.9.
Foundation course Open University......
Je...
Wadau wa elimu nawaomba kujulishwa iwapo Nina Certifate ya Urasimu Ramani Na Nina elimu ya kidato cha NNE je naweza kuomba kusoma Chuo Kikuu cha Ardhi ili kuchukua kozi ya mipango miji?
Tupo tayari kusikia na kupokea taarifa iliyo rasmi, hata kama ajira hakuna tuambieni tu kama mlivyofanya kwa Walimu tarajali wa masomo ya sanaa.
Kama ni uvumilivu tumefanya wa kutosha sana...
Wakuu natumai mko wazima,
Msaada wenu wakuu hizi kazi za ubaharia zinapatikana wapi?
Na unatakiwa uwe na elimu gani?
natamani nikafanye kazi katika meli za nje.
kama kuna baharia au mjuzi humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.