Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa shule yeyote inayohitaji mwalimu wa geography na literature anapatikana tuwasiliane kupitia 0712-478347
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JF habari, Kwa anaejua mambo ya research report kuna kitu kidogo sana nimekwama and nahitaji msaada wa haraka sana,najua experts hamtashindwa hili. Anaejua aniambie nimfate pm.
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Inakuaje pale jina langu katik cheti cha chuo linatofautiana na majina yaliyopo ya kwenye vyeti vya o-level na advance?, ni yapi madhara yake?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wana JF Naomba kupata Details za kutosha kuhusu chuo cha bandari Dsm, kuanzia ada zake,E-mail yake hostel, mazingira yake, mahali kilipo na ubora wa kozi zake. samahani km nitawakwaza ila nahitaji...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Naombeni msaada kujua salary scale/ range za social worker kwa national and international levels. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ulishawah kujiuliza kwanini kila ukiweka malengo ya kutimiza mwaka huu yanafeli?? Kila ifikapo mwisho wa mwaka unajikuta upo pale pale unarudi? Je vitu gani vinakufanya usitimize malengo yako...
0 Reactions
1 Replies
566 Views
Jamani wanandugu naomba kujuzwa nini mana ya GEF namba? Nimeona mahali lakini cfahamu na ninatakiwa kuijaza, asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kupata katiba na historia ya CHAKAMWATA
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimepata taarifa kuwa hakuna field kwa first year ..je ni kwa faculty zote au ni baadhi je vipi kwa wanaosomea ualimu hatutaenda field??msaada wenu wakuu
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu. Naomba kuuliza ni utaratibu gani wa kufata kupata loan payment status ya marejesho ya mkopo wa HESLB. Nalipa toka 2014 sasa na hili ongezeko nataka kujua namaliza lini wasije...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini, Jamaa wangu kaniambia kuwa hata waliomaliza medicine ambao kwa sasa walitakiwa wawe wakitoa huduma za kitabibu wako mtaani. Kuna ukweli wowote?
1 Reactions
7 Replies
993 Views
Habari zenu wanaForum Naomba mnisaidie link ya kupata free college online.... natamani kusoma....
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Habari zenu wana jf, kwanza napenda kuishukuru wizara ya elimu katika kufanikisha kutoa matokeo ya kidato cha pili. Pili napenda kuwapongeza Wanafunzi hawa waliofanya mtihani wa upimaji wa kidato...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuu nisaidieni kupata notes tajwa hapo juu especially Agriculture.hima jamani. Kwa maendeleo ya elimu tusaidiane tu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Namba ya mtihani M0441-0002 yeye ni wa QT, naombeni msaada wa kuniangalizia
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Ukweli hii wizara imejaa ubabaishaji mwingi shule zimefunguliwa lakini matokeo ya kidato cha pili hayajatoka sijui hawa wanafunzi wanaingia kidato cha tatu bila kujua matokeo yao huu ni...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
PUBLIC NOTICE Admission for March/April 2017 Intake through Central Admission System (CAS) The National Council for Technical Education (NACTE) is a statutory body established under the National...
6 Reactions
30 Replies
19K Views
Mimi nilichaguliwa mwaka huu kusoma diploma but sijaenda kwa sababu sina karo nimeenda ofisi za NACTE ili wanitoe kwenye orodha ya wanafunzi waliochaguliwa 2016/2017 ili niapply upya mwaka huu wa...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom