Ndugu zangu habarini za weekend mimi nina mdogo wangu kamaliza chuo cha serikali tangu mwezi wa tisa diploma ya udaktari katika moja wapo ya vyuo ya serikali vilivyopo nchini lakini kumekuwepo na...
TANGAZO KWA UMMA: KUHUSU WAHITIMU WA SHAHADA NA STASHAHADA ZA UALIMU (SAYANSI) WALIOTAKIWA KUWASILISHA VYETI
TAREHE 12/12/2016 WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILITANGAZA KUWA WAHITIMU WA...
Mimi nafanya kazi ya ulinzi naingia usiku tu kazini na naingia Mara mbili kwa wiki usiku na chuo ninacho karibu sana hapa je naweza soma hii kozi ? Maana naipenda sana .
Je ? Naweza kuwa na ingia...
Ninaitwa Juma Hassan, kijana mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam-UDSM 2015 katika kitivo cha humanitia na sayansi ya jamii.
Kutokana na hali ya serikali kupanga bajeti bungeni na kuipitisha...
Ningependa faham degree ya pharmacy na degree ya doctor in animals ni ipi inatija in terms of employment from formal and informal sectors also kwenye self employment.
Habari zenu wana jamiiforum..
Yeyote anayefaham kuhusu hatua za kufuata ili kuweza kujiunga na kozi za udereva katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) nahitaji msaada wa maelekezo
Wakuu, amani na iwe kwenu.... Naombeni mwenye muhtasari wa somo la kiswahili kwa shule ya msingi anisaidie hapa, nipo sehem ya mbali kijiografia nimeshindwa kuipata kwa namna nyingine.
Vilevile...
Naomba huu uzi uweze kutukutanisha sie wapenda kusoma novel za fasihi haswa zile za English..
Kuna novel nmezikumbuka ila sijui wapi kwa kuzipata kwa kweli..
Kitu kama IT IS POSSIBLE? ya Ole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.