The Japan Foundation for UNU (JFUNU) Scholarship is available for outstanding applicants from developing countries who can demonstrate a need for financial assistance and who are admitted to the...
Swali la kizushi lakini itakuchukua zaidi ya dakika 10 kujibu. Si rahisi kama unavyofikiria. Soma maandishi ya kwenye picha kisha shusha mtazamo wako hapo chini ya picha hii:
Nimekuja chuo kusoma bachelor of science with education but haikuwa priority yangu... Je ninaweza kusoma course nyingine baada ya kumaliza chuo? Msaada jamani.
walio soma muhimbili kama coz hiyo inapatikana vipi , gharama zao , kwa mwaka, na endapo physics una D " PCB" waweza kusoma coz hiyo huku uki resit somo?
Ivi Waziri husika ameshafanya research ya kutosha, na imeandaliwa mitaala inayoendana na Science na teknolojia ya sasa, Je mitaala ni rafiki kwa Shule, Umri, walimu na wanafunzi pia? Wameandaa...
Napenda sana uandishi hasa wa makala, ningependa nijuzwe jinsi ya kuandika au kwa mtu mwenye summary naomba tuwasiliane ili aweze kunisaidia katika hilo.
Nawasilisha wanajamvi
Habari zenu wana Jamvi....
Nimeleta mada hii mbele yenu kutokana na kero ninayoiona kwa shule za awali na Msingi ambazo zinaitwa " English Medium "
Na kero hii si nyingine bali ni UBOVU wa magari...
Mila zimekuwepo siku nyingi sana.Tangu kupatikana kwa mwanadamu ulimwenguni mila zilikuwepo. Hizi mila waliozianzisha waliozianzisha kwa nia nzuri tu ili kudhibiti mienendo ya binadamu na kuleta...
Wakuu,
Naomba kujuzwa vinakouzwa vitabu vya literature kwa bei ya jumla,
Hasa novels kama vile UNANSWERED CRIES, THE INTERVIEW n.k,
Pia plays kama vile THIS TIME TOMORROW, THE BLACK HERMIT, THIS...
I have tried my level best to examine and find best answers to this question but i have stacked to do so
I need you my fellow members of this site to help me, the question is why gender theories...
My roommate hates beer. I came late with 24 cans of beer & he didn't want let me in. I don't know much about rules but I know I have a case here.
Now, I am so addicted to alcoholic drinking, how...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania imepokea taarifa kupitia matangazo yanayotolewa na chuo kinachojiita Japan Bible Institute Graduate School of Theology kikijitangaza kwamba kinatoa shahada mbalimbali...
Habari wandugu zangu,Wakubwa shkamoo,
Mwenzenu nimekumbwa na tatizo kidogo! Nilikua nimeanza vizuri,sasa naona nashindwa kumalizia Ada yangu ya Chuo,naomba msaada wenu,na Niko mwaka wa Mwisho,Ni...
Wakuu nawasalimu,
Nina shida,mwanangu anatakiwa kwenda form one Dodoma Secondary,ni day school kwa wavulana sasa hana mtu wa kukaa naye day mtu niliyemtarajia akae naye amechomoa last...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.