Wale tuliosoma na kuhitimu Darasa la Saba shule ya Msingi Kahama, wilayani kahama, mkoani Shinyanga mwaka 1996. Tafazali tuwasiliane bandugu.
Mimi ndiye MASHAKA Kisandu (Deogratius Kisandu)
Habari wana Jf. Kwa mtu yeyote au mwanafunzi wa computer science anayetaka kujifunza programming kwa kutumia C++ or Python. I will be glad to hear from you ili niwapatie hizo software pamoja na...
Hali zenu wanajamii, Mm ni mhitimu wa Bachelor of science in software engineering. Nimekuwa interested sana na hardware programming, applications za robotics, mechanical na electronics. Nina...
Wakuu, kesho Jumatatu, Tarehe 11/1/2016.
Shule nyingi za umma, msingi na sekondari zinafunguliwa.
Hebu tujuzane hali halisi ya shule hizo, na jinsi elimu bure itakavyorahisisha mambo.
Kutoka...
Wasalam,Ndugu waungwana naombeni msaada wa hivi vitabu vifuatavyo
Kitabu chochote cha Brian Tracy,na Learned Optimism by Martin Seligimans au any Ispirational Book,
nitashukuru sana.
Waungwana heshima kwenu.
Napenda kujuzwa kuhusu mwaka mrefu na mfupi. Kwa jinsi nijuavyo mimi mwaka mrefu ni pale dunia inapokamilisha mzunguko wake wa kulizunguka jua baada ya siku 366. Ila...
Mimi ni mwalimu wa stashahada natafuta ufadhili wa shirika, kampuni au binafsi ili nisome Shahada hadi masters aliyetayari nitashukuru sana.0757658783.
Habari wana Jf Wenzangu.
Hivi mnaonaje serekali yetu ikitumia Lugha ya kiingereza kufundishia masomo yote kwenye shule za msingi za serekali? Nadhani itasaidia sana wanafunzi wetu kuelewa lugha...
Jamani wana JF naombeni msaada wa formula ya kupanga Divisions za matokeo ya mitihani kwenye Microsoft excel yaani mfano Div I, Div II, Div III, Div IV na Div 0.
4 Jan 2017
Baada ya kutembelea chuo cha VETA na kukagua miundombinu ya chuo, nimewasiliana na waziri wa ELIMU Prof. NDALICHAKO katika ziara yake fupi ndani ya manispaa ya kigoma ujiji...
MAFANIKIO- ni hali ya kukamilisha lengo au dhumuni ambalo ulikua unatamani kulifikia siku moja. Kila binadamu ana malengo na mipango yake tofauti lakini wote wanafanya yote hayo kwa ajili ya...
Naomba kuuliza,Wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2016 matokeo yao yamekwisha toka?
Kama tayari basi naomba nipate link niweze kuyatazama (maana nimetafuta kwenye website ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.