Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Discuss the strategies that can be taken by the government of Tanzania to ensure that individual or companies in the country are not involved, whether directly or indirectly, in bribery, deception...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau! Naomba mwenye link nayoweza kupata fomu ya kujiunga na shule (joining instruction ) ya Tabora girls kwa form one wa mwaka 2017 Natanguliza shukrani!
0 Reactions
2 Replies
5K Views
jamani wanasemsje kuhusu uhamisho tamisemi kwa watumishi wa umma?maana kimya sana
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Nasoma sheria katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani morogoro ngazi ya cheti. Dhumuni ya kuleta ishu yangu humu ni kuomba msaada wa mtu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima mbele wadau, napenda kujua review za hapa City Center (DSM) na ratiba zao za masomo ya Final stage tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Zamani mtu mwenye digrii alikuwa ni mtu wa kuogopeka sana. Kwanza ukimkuta mtu mwenye digrii anaongea inabidi wewe ambaye hauna digrii ukae kimya. Tulikuwa tunasema utaongea nini na mtu mwenye...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Hongereeni kwa kufika 2017, Mungu in mwema. Jamani mdogo wangu amechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule ya sekondari Bwiru. Naombeni kwa anayejua taratibu za shule hii ikiwemo, ada...
2 Reactions
31 Replies
8K Views
Nilichaguliwa mwaka huu kwenda kusoma diploma of education in science but sina pesa zakuweza kujisomesha nataka nijipange mwakani nikasome certificate of medicine je ? Naweza kuapply na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Natanguliza salamu zangu za mwaka mpya 2017 kwa wana jamii wote. Mimi ni kijana mtanzania ambaye Nimepata misukosuko katika mchakato mzima wa elimu tangu nikiwa elimu ya msingi. Nilibahatika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna Siku niliomba ushauri wa wapi naeza pata shule au centre ya kufundisha Mathematics au Physics Kwan hapa Dar.... Nimepata vijana wawili wanaitaji somA topics zote za form five so kama nawe...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu..naomba mwenye joining instructions msalato anitumie kama softcopy au hardcopy piga picha..natanguliza shukran
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari zenu, Toka serikali itangaze kutoa ajira kwa walimu wa sayansi tu na kuwaacha na sintofahamu walimu wa arts, kuna kimya kimetanda toka kwa walimu wa arts tofauti na mwanzo wakati wa...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
.habr wana jf.. naomba ushauri/wazo ni kozi gani ambayo inaweza ikanifaa kutokana na matokeo yangu... ninemaliza kidato cha 4mwaka 2011,nakupata dvsion 4ya 30 yaani d4 ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mazingila ni mazuri sana na nilafiki kwa mwanachuo......
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nimekuwa nafuatilia kwa muda mrefu kiasi, namna wenzetu Wakenya wanavyofanya kwenye mambo ya elimu hasa linapokuja swala la Matokeo ya Mitihani Primary and Secondary school. Matokeo yanapotoka...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI, WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI HAWA HAPA. Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, inayoongozwa na Dr.Shukuru Kawambwa, kimtazamo inaonekana kuwatumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani wana jamii forum nahitaji ushauri... mimi ni mwanafunzi wa a level form 5 ila shida yangu ipo kwenye academic yangu ani kila nisomapo physics naishia kupata 40 chemistry nayo majanga...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kama upo chuo na course unayosoma haipo kwenye list hapa chini jiandae kisaikolojia kukabiliana na tatizo sugu la kukosa ajira. 1.ualimu wa arts, sayansi na Mathematics. ..ila ualimu wa arts...
18 Reactions
231 Replies
31K Views
2015 hakika tulipigania....CHICHIMIZI Mungu alitia wepesi na tukaingia kwenye mifumo basi 2016 na sisi hatukukosea tukaganda na mifumo na tukajaribu kucheza na fulsa ipasavyo...hatimaye tukavuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom