Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Salaam wana Great thinkers, Ni muda mwingine tukutane kujadiliana kuhusiana na hili suala linaloleta mkanganyiko kuhusu .... Je ni lugha gani itafaa kutumika katika elimu yetu kuanzia...
0 Reactions
4 Replies
896 Views
Babari zenu ndugu zangu, Mimi nimechagiwa kwamara yapili nakozi nitofauti naileyamara yakwanza aombeni ushauri nifanyaje?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wanajf!!!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Mimi ni mwanafunzi nasoma ordinary diploma in secondary education Chemistry & Mathematics lakini tunachofundishwa...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Wanajukwaa please kwa heshima na tahadhima naomba kujua kati ya kozi tajwa hapo juu ni ipi nzuri kusoma kwa sasa kwa uzoefu na ujuaji wenu Asanteeeni nyote
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa misamiati hii kweli tutaweza kufundishwa tukaelewa kwa Kiswahili
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Ndugu zangu naomba muongozo na ushauri wenu pia, Mimi nilichaguliwa kujiuga BESHA institute of health, kozi niliyochaguliwa kusoma ni community health CHUO kipo Tanga na nilishaenda nikafanyiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kuanzisha mjadala kwa njia ya maswali……. 1. Je ulipenda kuwa Mwalimu au ni matokeo ya maisha ? 2. Kwanini ulisomea uwalimu? 3. Kama ulipenda nini kilichokuvutia kupenda hii kazi? Kama...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna mtu ameniambia baraza la mitihani wamebadili grades za ufaul kwa kidato cha sita
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu, Tafadhali sana, mnipe ushauri na utaratibu mm nimepoteza cheti changu cha form 4 na ninahitaji kuapply chuo. Asante.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi ndugu zangu. Kwa muda sasa imeibuka dhana ya kutopewa umuhimu kwa walimu wanaofundisha masomo ya sanaa. Kwa kiasi kikubwa wameonekana kutengwa na kupewa umuhimu mdogo sana katika...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu nilikuwa naomba mtu atakaeweza kunisaidia hili swali A human development if it is not engendered is endanger.Discuss Hope ntasaidiwa
0 Reactions
0 Replies
967 Views
wakuu,heshima kwenu kwa unyenyekevu heshima na taadhima nipo chini ya miguu yenu naomba mnisaidie kufanikisha hili.nina ndugu yangu kachaguliwa chuo kikuu Augustine campus ya Arusha yani...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
7. Project Management Professional (PMP) IT professionals love the PMP certification because it allows them to apply their skills across a wide variety of industries. Most companies, regardless...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wakuu,naomba mnisaidie vyuo na courses zilizobaki katika hii second round natak ndugu yangu aaplly sabu 1st round amekosa amesoma HKL na ana division II ya 11.msaada please wakuu aapply...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wadau tupeane madili ya kufundisha centres na.shule mm nipo nondo sana uwanja huu
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Wanufaika bodi ya mikopo sasa ‘kulimwa’ asilimia 15
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu mimi naitaji kujua ni shule gani nzuri ambayo nikienda kusoma nitaweza kufaulu vizuri ngazi ya A-level aksante.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia matamko mbalimbali yanayotolewa Na Viongozi wa Bodi ya Mikopo.Naamini mkataba wa mkopaji Na Bodi unaeleza bayana namna mkopo utakavyolipwa. Sidhani kama kuna kipengele...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom