Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mi ni mwanafunz wa UDSM nasoma education ya science ,,, wapi naeza pata shule ya kufundisha mathematics au Physics kwa hapa dar? na nina ufaulu mkubwa wa hayo masomo ... ila bodi ya mkopo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naaza na mimi... Nilisoma Ifunda Technical school na Tosamaganga high school wewe Je Mzumbe Secondary Ilboru Secondary Kibaha Secondary Tabora Boys Secondary Tabora Girls Secondary Msalato...
12 Reactions
534 Replies
73K Views
Naomba msaada wa ilo swali........ . Nipate point tu Asanteni.......
1 Reactions
70 Replies
4K Views
Wasomi kumetokea na dhoruba chombo kikaanza kujaa maji na kuzama na wewe Upo na mwanao na nduguyo na uwezo wako wa kuokoa ni mtu mmoja tu kwa elimu yako na hekima yako utamwokoa yupi Kati hawa...
0 Reactions
5 Replies
922 Views
Kwa matokea haya nitamsaidiaje huyu kijana? Naomba mawazo yenu afanye fani gani? Civics D English D Kiswahili D Biology E Mathematical F Chemistry F Geo F Physics F History F
0 Reactions
12 Replies
2K Views
The University of Adelaide offers a scholarship program for commencing international students undertaking undergraduate study. More info ~> Adelaide International Undergraduate Scholarships (AIUS)...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
The Admissions Office at the University of Gothenburg administers scholarships intended for fee-paying applicants, who have applied in the first admission round via www.universityadmissions.se for...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
The Ampère Scholarships of Excellence provide excellent international students with the opportunity to pursue one of the eligible Master's programs offered at ENS de Lyon. More info ~> Site...
0 Reactions
1 Replies
615 Views
Westminster’s Full International Scholarships are the University’s most competitive scholarships that are open to international students from developing countries who wish to pursue a full-time...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama we we ni mwalimu unayesubiri ajira haijalishi ni sayansi au arts na ulipata mkopo tambua grace period ya bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu iliisha 01/12/2016. automatically...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Wale watalaamu wa Lumumba naomba mnijuze Elimu ya Mbunge Joseph Ngonyani" Maji Marefu"(CCM).Nimekuwa navutiwa Na namna anavyochangia Bungeni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawezaje kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi chuo kikuu? Mimi n PCM student. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jamvi, Heshima kwenu. Leo nimepita karibu na bunge letu tukufu. Nimepigwa na butwaa kuona hili bango katika kama sehemu tatu: STRICTLY NO PHOTOGRAPH ALLOWED IN THIS AREA. Kweli hakuna...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu? Mimi mdogo wenu naitaji msaada wa namna ya ku appeal mkopo; bado sjajua hatua za kufata na vitu vya kuambatanisha. Hivyo naombeni msaada wenu wakuu maana siku zimekaribia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna utofauti wa masaa Kati taifa moja na jingine mathalani Tanzania na Mozambique tumetofautiana kwa saa moja swali kwa nini mwaka mpya dunia yooooote sekunde Ile Ile kufumba na kufumbua kunakua...
4 Reactions
87 Replies
8K Views
Kuna rafiki yangu amepigiwa simu na mtoto wake anayetarajia kuanza mitihani ya kidato cha nne jumanne ya tarehe moja kwamba amtumie fedha elfu 80 kwa ajiri ya kuwahonga wasimamizi , sasa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi :- KWANINI USIJIAJIRI.?? serikali haina pesa za kuwaajiri nyie wote (hasa walimu wa art subjects). Rafiki :- Hapana ndugu yangu shida siyo kujiajiri,Shida hatukupewa taarifa mapema huenda...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwenu walimu, --Ushauri huu unakuja hasa baada ya tamko kuu la waziri wa elimu juu ya kusitisha kuwaajiri walimu wa kufundisha masomo ya sanaa mashuleni ni muda muafaka kwenu wa kukaa kitako na...
10 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu mliosoma chuo cha Mzumbe na mnaosoma Mzumbe nataka kujuzwa kuhusu kurudia mwaka. Ishu iko hivi, ndugu yangu ali disco baada ya hapo aliandika barua ya ku appeal. Wiki ilopita alhamisi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kuna swali linasema "delineate the concept of warehouse performance management and its objectives"
0 Reactions
2 Replies
580 Views
Back
Top Bottom