Habari za muda huu wana-JF
Naomba kufahamishwa juu ya hili,
Je,mwalimu aliyesomea Stashahada ya Kawaida ya Ualimu Elimu ya msingi na baadaye akaja kusomea Shahada ya Elimu atakuwa mwalimu wa...
Mimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha sita 2016 ila nilikosa alama D moja katika mchepuo niluokua nikiuchukua PCM , NIFANYE NINI KUTOAPLY DIPLOMA ?? Nimefika chuo inanilazimu nianze level 4...
Wadau nina vijana wangu wawili wakuiume miaka nane na mmoja minne nataka niwatafutie Shule ya kugundua vipaji vyao maana huyu mmoja anapenda. Kuimba imba,huyu mmoja anacheza mpira .je kwa Tanzania...
Nilikua na ndoto kubwa ya kua IT Technician,lkn ndoto hy imekufa pale nilipomaliza diploma na kupata ufaulu wa G.P.A ya 2.9 ambapo kwa mujibu wa T.C.U ninaambiwa nimekosa kigezo cha kuendelea na...
Wakuu kuna baadhi ya shule naomba nizitaje kama st getrude, herritage, lonica na nyingine kibao za binafsi nimeshuhudia wanafunzi wakifukuzwa na kuambiwa wakatafute shule nyingine kwa maana...
Jamani Mm Ni Mwalimu Ninadegree Nipo Kazini Kwa Miaka Mitatu Nataka Mwakani Nikasome ,sitaki Kusomea Ualimu Coz Maisha Ya Ualimu Ni Ya Kiboya,je Ni Kozi Gani Iko Poa Sokoni,masters Au First...
Waungwana nadhani muko wazima
Naombeni munisaidie nataka kuandika Business Plan ila itakua ni non Profit lengo langu ni kutoa elimu juuu ya H.I.V and AIDS na Kuelimisha vijana wadogo kushuhulikia...
Habari zenu wakuu,
Nadhani wengi mtakuwa mnakifahamu chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).
.
Binafsi jana nilikuwa nimempeleka dogo wangu akasajiriwe maana pale usajiri umeaanza tarehe 28/11 na...
Hello,
Hope mnaendelea vyema, naomba kujua namna ya kutafuta au nitapataje scholarship nje ya nchi hii ya tz hasahasa nje ya Africa au hata ikiwa Africa yenyewe.
Plz, mwenye ujuzi naomba...
Kwa wale wadau wa shule za st. Kayumba enzi hizo, hapa namaanisha watoto wa wakulima ambao wamesoma shule huku wakienda na...
kidumu
ufagio
jembe
kuni
mabingobingo
maua
nyasi
nyuzi za katani...
Nimechaguliwa TEKU degree ya computer science mwaka huu ila sijaenda kuriport kwa sababu sijapata mkopo na ili nipostpone ni mpaka kufanya usajiri kwanza yaani kulipa ada
Sasa je naweza kuomba...
Wadau nina cheti cha foundation course toka OUT. Sina fedha za ada kuendelea zaidi. je naweza kukitumia cheti hicho kuombea kazi. kina B ya Communication skills na C ya Development Studies...
Nimechaguliwa TEKU degree ya computer science mwaka huu ila sijaenda kuriport kwa sababu sijapata mkopo na ili nipostpone ni mpaka kufanya usajiri kwanza yaani kulipa ada
Sasa je naweza kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.