Binafsi napenda kutoa shukrani kwa serikali mpya kwa kutujali sisi wanafunzi tunaonufaika na mikopo niko chuo flani apa Leo tumesaini pesa za kujikimu za awamu ya pili. Kama Kuna wahusika umu...
Habar wadau nahitaji msaada wa kupata past papers necta, mock(dsm, north zone, southern highland zone) , papers za Gcas, Na necta exams za masomo ya BAM, additional mathematics, basic math, na...
Hoja hii ina mapungufu ya kutofanya utafiti, hebu chunguza shule karibia zote za mjini walimu utawaona wengi kwakuwa hakuna mikondo, shule nyingi zina upungufu wa vyumba vya madarasa hivyo...
Assalaaaam....
Nafikiri taarifa zitafika tu panapohusika...kusema haki mpaka mda huu bado sijaelewa unachokijenga katika elimu yetu hii ya kuungaunga.
Hakuna asiyejua kwa maneno na kwa vitendo...
Ndugu wanajamiiforums, naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo tajwa anitafute kwa mawasiliano yafuatayo
0629836915
DEADLINE 19/12/2016
Nimechelewa kwenda shuleni form 5 kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Kikwazo kimeisha, je naweza kwenda sasa hivi?, term ya pili.
Time limitation inasemaje
Habari zenu wakuu..,ninapenda kuulizia mwenye kufahamu tovuti/website zenye past papers za alevel necta kuanzia 2016 na kurudi nyuma...,anisaidie...hasa hasa science subjects....,itakuwa...
Master of Applied Economics Scholarships at the University of Adelaide is now open for 2017 academic year. International and Australia students are eligible to apply for these scholarships. More...
Ajira za walimu hewani ila ni kwa wale walimu wa sayansi pamoja na hesabu. Ndugu zangu na walimu wenzangu wa masomo ya sanaa hii hawamu ya tano hawatuhitaji.
Kama wewe ni mwalimu wa kiswahili...
wadau
natafuta shule nzuri kwa ajili ya mtoto wangu na ningependa aanze muula ujao...ana miaka mitatu kasoro...ninaishi maeneo ya Salasala-Kinzudi majengo na ningependa shule nzuri iliyo jirani na...
Habari wanabodi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kufahamu kama kuna utaratibu wa uhamisho kutoka shule binafsi kwenda shule za serikali, na kama upo taratibu hizo zafanyika wapi...
The International Summer School (ISS) at the University of Oslo, invites applications for admission into either Self-financed/sponsored or Scholarships to vie for higher education training...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.