Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Salaam ! Heri ya mwaka mpya kada wenzangu,kama kuna group lolote la whatsapp kwa wanachama wa kweli naomba tuwasiliane ili niweze uweze kuniadd ili kudumisha chama chetu pendwa. Na kama halipo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wanajamvi.Nimehitimu chuo mwaka 2016 Bsc in science nikimajor Mathematics na Physics.Baada yakuona ajira za ualimu zinazngua nataka nisome Postgraduate ya engineering yoyote.Je...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wana Jf Simu yangu HUAWEI Y520-U22 Inatatizo la kushuka mnara mara kwa mara kwa anaejua anisadie nifanyaje
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya kumaliza diploma Nacte hutoa cheti baada ya muda gani?
0 Reactions
3 Replies
753 Views
Wana msaada wenu hapa, kuna dogo alichaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu kwa mwaka wa masomo 2016/2017, baada ya kuchaguliwa akakipigia simu kile chuo kwamba kimtumie joining maana hata website...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
kama nilivyoeleza hapo juu.nina kijana wangu amefeli kidato cha nne mwaka jana nikaona ni bola nimtafutie shule arudie kidato cha pili hivyo kwa yoyote yule anaezifahamu shule nzuli ambazo...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Natumai mko salama wanajamvi.. Napenda kuuliza hivi walimu na madaktari waliokuwa wanagoma kwa kudai masilahi ya kazi zao season ya 4 (KIKWETE) wamepotelea wapi au wameshawekewa sawa masilahi yao...
7 Reactions
126 Replies
9K Views
Habari za Leo wana jukwaa, nina ndoto za kuwa na shule yangu ila kwa sasa natamani kuanza kujua kwanza juu ya Day Care kama foundation ya ndoto zangu!! Naombeni kujua nahitaji vitu gani ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kutumbuliwa kwa Mramba waziri mwenye matamko yanayoathiri wananchi wanyonge anafuata Ndalichako.....yeye anajua fika watoto wa masikini wengi ndo waliosoma masomo ya sanaa kwa kusoma...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
HOFU Hofu ya kujaribu katika maisha ndio kitu kikubwa kinachowatesa vijana wengi.. Vijana huogopa kujaribu kuyakabili maisha lakini wana mipango mikubwa ya kufanikiwa.. Hofu ikishatawala ubongo...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu wana jf poleni na majukumu kuna ndugu yangu alichaguliwa chuo cha mwalimu nyerere memorial then siku moja aliingia kwenye profile yake ya nacte akajaribu kuomba uhamisho pindi hawafunga...
0 Reactions
7 Replies
967 Views
Habari zenu wa uungwana, Naomba Kujua nina mdogo angu kumalizia 4m4 Kenya shule za Kata Sasa tunataka aje kusomea 4m5 huku tzd, itakuaje na nikivipi na shule ipi nzuri kwa Dar, moshi na arusha...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Nataka nifanye mtihan kama pc je kuna madhara yoyete mtihan wa kidato cha 6 naomben ushaur
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Jamani naombeni kujua kama kutakuwa na penati za masomo mwaka huu kwa wahitimu wa kidato cha NNE mwaka 2016 na pia nijue ni masomo gani yatakuwa na penati naombeni kujua na pia na matokeo yatatoka...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Wapendwa Mwanangu kachaguliwa shule ya sekondari ya wasichana Tumaini iliyopo mkoani Singida Iramba lakn cha kushangaza mpaka leo sijapata joining instruction, naombeni kama kuna mtu anasoma huko...
0 Reactions
8 Replies
833 Views
Nimesika watu kadhaa wanasema watoto wa fresh from school wanaongoza darasani mavyuoni kuwazidi wakujiendeleza hivi hii ni kweli? Au propaganda? Karibuni tuwekane Sawa hapa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za muda huu ndugu zangu me mgeni kwenye jamvi na kijana mdogo nmemaliza kidato cha 4 mwaka 2015. Sasa je nsomee kozi gani itayofit alama zangu D 3 za Kiswahili,Biology,Civics masomo...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
NACTE wametangaza udahili ni tarehe 23 Januari. Na wengi wetu tunasubiri matokeo ya CSEE 2016 ili tujidahili. Na matokeo yakichelewa huenda vyuo vikajaa. Basi kwa yeyote anayejua tetesi za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom