Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Msomaji mmoja aliniandikia hivi majuzi akidai mwanae hamsikilizi. Kwa mujibu wa mzazi huyu, pamoja na kufanya jitihada za kumwelekeza mwanae mambo muhimu ya kimaisha, bado kijana wake huyo...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo wapendwa,samahani naomba kujua taratibu za uhamisho wa ugonjwa nina mdogo wangu ni mwalimu amepata ugonjwa wa kifafa ukubwani so Dr. Kamshauri aombe uhamisho na report ya ugonjwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katibu wa baraza la mtihani ameyatangaza matokeo ya darasa la saba mwaka huu 2015 kiwango cha ufaulu kimeongezeka kutoka 62 hadi 67 asilimia.somo la kiswahili ndo linaloongoza kwa ufaulu huku...
0 Reactions
22 Replies
39K Views
Mimi ni kijana wa 18yrs now, Nimemaliza kidato cha 4 2015 na nikafanikiwa kufaulu ila sikuchaguliwa kijiunga kidato cha tano.. Kwahiyo nikapanga ntaapply chuo lakini wazazi hawakuwa na pesa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ingekuwa poa sana kama Tanzania kungekuwa Shule za fani mbalimbali mfano fani ya useremala. Mtoto anaanza kusoma uselemala tangu anapokuwa na miaka mitano mpaka anapofika miaka 14 hapo ni fundi...
1 Reactions
3 Replies
870 Views
Naombeni msaada wenu kimawazo. Cheti changu cha kuzaliwa kina jina tofauti na vyeti vyangu vyote vya shule kuanzia S/m had form six ( Hivi vina majina sawa isipokuwa vinatofautiana na kile cha...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Applications are invited for TGCL scholarship available for entry into a postgraduate study programme in law (LLM or PhD). Applicants from Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania and Uganda...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
The University of Bonn and the United Nations University Institute for Environment and Human Security (UNU-EHS) are offering up to eight fully funded scholarships for developing countries. These...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa first year aliepo dar, usije ukakosa fulsa ya kusoma chuo kwa vitu vidogo... Jinsia ya kike tu... Me ni kijana around 24s, kama unauwezo wa kulipa Ada, njoo geto tusaidiane maisha. Kila siku...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mafanikio ya kitaaluma, kwa kiasi kikubwa, yanategemea namna unavyoweza kusoma na kukumbuka kile ulichokisoma. Kusoma kwa bidii na kuelewa unayoyasoma ni muhimu. Lakini kama huwezi kukumbuka...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
So I have to assume kuwa watanzania wote waliosoma Uganda ni very bright. Sijui nyie mnapimaje uwezo wa Watanzania waliochemsha huku Bongo na kuamua kukimbilia kwenda kusoma Uganda, maana to my...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuzipata pesa na kuzitumia nje ya malengo yako hii hukutengenezea majuto baadae kipindi ambacho unakuwa huna nguvu wala uwezo wa kuzitengeneza pesa kama zile za mwanzo. Wengi hufeli katika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mwenye mihula ya mwaka (ratiba ya kufunga na kufungua shule kwa shule za sekondari) kwa mkoa wa Tanga
0 Reactions
6 Replies
13K Views
ningependa kujuzwa ,vyema , 1- kwa daresalaam na morogoro ni chuo gani kina toa cause hii ya clinical officer kwa ada nafuu, na uhakika wa kujipatia ajira. 2. Naweza kusoma ASSISTANCE MEDICAL...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Habarini wana Jamii forum.Samahani kama nitakua nimekosea.Nilikua naombeni kama kuna mwenye mawasiliano na MKUU WA CHUO CHA WAGANGA WASAIDIZI(CO) na MANESI CHA DCT MVUMI DODOMA ANISAIDIE...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Mkuu wa shule moja ya sekondari ya kata kwa makusudi ampeleka mwalimu wa somo la Geography akasahihishe mtihani wa Taifa wa kidato cha pili somo la Geography huku akiwaacha walimu wa somo...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Ningependa kuja kuwa mwanasheria, yani nisome sheria. Kiukweli sijafahamu juu ya masomo yanayotakiwa kusoma mtu wa sheria. Msadaa kwenu wanajamvi.
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Scholarship Positions and Internships |
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Wana JF Naomba msaada, nataka kujua gharama za kumsomesha mtoto nchini Uganda. Kiwango ni elimu ya msingi na sekondari kwa Mwaka.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom