Mwanafunzi aliyezoea kuigilizia majibu kwa wenzie huonekana nae ni miongoni mwa wanafunzi bora zaid darasani ila ikatokea siku akapewa mtihani aufanye peke ake lazima atafeli tuu na anetegemea...
Habarin humu!!
Naona Kama mwaka huu matokeo ya vyuo vya afya kwa hawa diploma na certificate(clinical officers na clinacal assistant) yamechelewa kidogo, mwenye taarifa kuhusu matokeo hayo pls...
Kati ya hizi kozi mbili IPI ni nzuri kuajiriwa ,kujiajiri na nyepesi kuajiriwa hata serikalini ?
Ufaulu wangu.
Physics=C
Chemistry=C
Biology=D
Civics=B
English=C
Geography=D
History=D...
Heshima kwenu wanajamvi natumai mu wazima wa afya huku tunaendelea kusoma vipeo na vipeuo vya hapa na pale but still life goes on,.
Poleni kwanza na majukumu ya kutuondolea ujinga kwa watoto...
Nina kijana amemaliza form four na kufaulu masomo ya sayansi chemistry c biology c hajafanya physics masomo yote kafaulu kwa kiwango kizuri kasoro mathe f. Je kijana huyu anaweza kusoma course ya...
wengi wetu tuna amini kuwa kusoma ndio njia pekee ya kuondoa matatizo yanayotukabiri lakini Mimi Leo nakataa kwa tulipofikia kusoma hakuwezi kukuondolea matatizo yalko Bali kutakuongezea...
Naomba mnisaidie wadau hivi inawezekana aliyefika kiwango cha mwisho cha makato kwenye mshahara akaendelea kukatwa. Toa majibu ambayo una uhakika nayo.
TANGAZO KWA UMMA: KUHUSU WAHITIMU WA SHAHADA NA STASHAHADA ZA UALIMU (SAYANSI) WALIOTAKIWA KUWASILISHA VYETI
TAREHE 12/12/2016 WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILITANGAZA KUWA WAHITIMU WA...
Serikali kupitia wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetoa Guidlines za muundo wa serikali8 za wanafunzi wa vyuo vikuu nchini. Circular hiyo ambayo imewekwa kwenye Government Gazete, ni ya...
*SERIKALI YAFUTA MAFUNZO KWA VITENDO `FIELD` KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA*
```Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 14 katika kipindi cha habari za saa kinachopeperushwa na Channel Ten. Sababu za...
Chuo hiki cha uhasibu Arusha kimekuwa na matatizo mengi sana hasa ya kiuongozi lakini hili la kuchelewesha transcript kwa wahitimu sio changamoto tena bali ni tatizo.
Nimehitimu mwaka jana...
Wanajamvi..
tunawaalika wazazi wote wenye watoto kuanzia darasa la tano hadi la saba kuwaleta watoto wao ili wajumuike na wenzao katika kufanya sayansi kwa vitendo.
Ni program ambayo...
Wasalaam wakuu,
Kwa heshima na taadhima nawaomba msaada wakuu nimepata nafasi ya kwenda nje kuchukua kozi flani ss nimeambiwa niwe na passport ili wanitafutie viza sasa wakuu naomba mwenye uelewa...
Kuna Shule wanatafuta mwalimu aliyesoma Geography na Literature sasa mimi nimesoma geography tu na ninahitaji hiyo nafasi nifanye vipi ili niweze kumconvice nipate ajira
Wazee nimeona niseme jambo hili huenda nikapata utatuzi kutokana na ushauri wenu.
Kwa sada ni mwanafunzi wa chuo fulani hivi.
Mara kadhaa nilipokua high school nilikua nasumbuliwa na tatizo la...
Naomba kujuzwa kuhusu hii course ya electro technical officer pale DMI entry requirement ni ipi na ada huwa ni shilingi ngapi. Kwa mwenye ufahamu kuhusu hili naomba anijuze, now sipo dar so...
Kwa jinsi Tanzania yetu Inavyokwenda kweny system ya elimu mfano kutopewa kipaumbele wanafunz wa masomo ya sanaa Unanishauri nisomee kitu gan chenye soko kama mwanafunzi wa masomo ya Sana'a...
hakika ndugu zetu wanateseka sana kule mzumbe sijajua kwanini VC yupo kimya na bodi
Mkopo walisaini Kota ya pili mwezi uliopita lakini mpaka saivi hawatapa hela zao na Rais wetu alitoa ahadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.