Ndugu zangu naomba kujua vitabu kama vile the beautiful ones are not yet born na man of the people,je kuna app yoyote ambayo naweza kuvisoma vitabu hivi au kama nikitaka kuvisoma kwa njia ya...
Habari vipi jamani.......
Samahani kwa yeyote anayefahamu vyuo vizuri vinavyotoa diploma ya medical laboratory sciences kwa mwaka 1.
Naomba anitajie majina ya hivyo vyuo pia akinipatia na...
Enzi hizo aslimia 99 kishule shule mapenzi ni kwa maneno tu yule mchumba wangu mara huyu msichana wake na head boy sijui head girl kadimbua kiboy cha mzumbe sec. Ilimradi title tu yani hata...
Ndugu wana jf kutokana na mfumko wa vyuo vingi siku hizi ambavyo havikusajiliwa napenda kutoa hoja hii kwa yeyote mwenye ufahamu wa ndani juu ya chuo hicho kama kimesajiliwa au la maana kunadogo...
Mimi ninakipenda sana chuo cha Makerere haswa kutokana na historia yake iliyotukuka. Nataka nikasome Biotechnology degree ili niunganishe masters ya genetic engineering. Wadau naombeni ushauri...
Habari zenu wana JF, ni Mara yangu ya kwanza kupost hapa japo ni mfuatiliaji wa mda mrefu wa maada mbali mbali hapa jukwaani.
Ndugu zangu Mimi ni mhitimu wa shahada ya Elimu ya masomo ya sanaa...
Me and my team have been working tireless to fix what we see is NECTA lack of will to embrace new technology and make it easier for students to see their exam results.
We have built a platform...
Naomba Msaada wa kituo kizuri cha kurudia mtihani wa kidato cha NNE au Shule nzuri kwa ajiri ya tuition ya resters Mkoa wa Kagera maeneo ya Muleba au Bukoba
Salam wote...kuna mdogo wangu anaomba ushauri wa kusoma comb gan kati ya hge na cbg kwa course za chuo na upatikanaji wa ajira...pia nngependwa kusaidiwa shule gani za private nzur kwa comb hizo...
Hi all!
mwaka jana nilichaguliwa chuo kwa ngazi ya degree level nikaenda chuo nikafanya usajali baada ya kukaa miezi miwili maisha yakawa magumu nikafanya maamuzi magumu ya kuhairisha mwaka wa...
salamu wakuu!
nimejaribu kusoma na kufikiria kwa mapana zaidi na nikaweza kuielewa hydrological cycle vizuri ni procedure zipi hutumika mpaka mvua kufanyika na kushuka ardhini kwa kunyesha...
Habarini wana JF
Kuna Kijana yupo Mbeya, Amesoma Tabora boy's O-level na Advance,
Kwa Bahati mbaya Alishindwa kumaliza Elimu yake ya form Six, kabla ya miez 4, baada ya migogoro yakifamilia...
ELIMU BIASHARA
MSOMI MUOGA
Kuna wakati Elimu Yetu inatunyima ubunifu wa kugundua vitu vipya na vingi, Lakini pia kuna wakati hata mazingira tuliyopo tu yanatunyima mwangaza. Pata picha mwalimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.