Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
hjghhhjj
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kweli sijaelewa mana ukienda website nyingne ya NACTE kuna taarifa application ni march/April...majuzi nimefungua nimekutana na application zmetoka na deadline ni tarehe 6 mwezi wa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Bajeti imekuwa kubwa ya uendeshaji wa shule hivyo wanataka kuwapunguza suala la uwezo halina tija watoto wamefundishwa na wakafaulu.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii elimu ya Tanzania ovyo tupu kukaa kote darasani zaidi ya miaka 20 kutafuta degree Leo hii sioni faida ya hii elimu wenzangu wengi nlioanza nao shule wengine waliacha Leo hii wametoboa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"APPEAL RESULTS FOR 2016/2017 WILL BE OUT ON 9TH FEB" Naona mpaka sasa kimyaaaaaaaaaaa! Kulikoni
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wanajamii nimeingia instagram ktk page ya ITV nimekutana na habari hii.Kwamba wanafunzi woote waliojiunga na kidato cha kwanza ktk shule za serikali wanatakia kurudia hiyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau ndugu yangu anataka kurudia mtihani wa O level kituo gani kizuri cha kumsaidia kujiandaa na kufanya vzr kwenye mtihani wa Mwaka huu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu hivi ni wapi naweza kwenda kumshatki loan officer ikiwa nimegundua hakupeleka appeal form yangu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabunge nchini Rwanda kwa kauli moja wameridhia kupitisha muswada wa sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa hilo. source ITV *Nini maoni yako kuhusu kukua na kusambaa kwa...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
Ukweli Leo website ya Nacte haifunguki sijui tatizo gani ? Hivi IT wa Nacte mmesomea kweli field hii ? Au mmeajiriwa kimakosa ? Mbona tuna IT wengi wapo mitaani na wafanyakazi Wazuri kwanini kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Duck-billed platpus ni miongoni mwa wanyama katika kundi la ufalme wa wanyama (Animal kingdom) anaetaga mayai( egg-laying mammal) na baadae kunyonyesha vichanga vyake( Nursing it's young) Mnyama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau naomba kwa anayejua ninaweza kufuata utaratibu gani ili nifahamu matokeo halisi ya mtoto aliyehitimu kidato cha NNE Mwaka Jana. IPO hivi: namba anayotaja mtoto inaonyesha kapata division...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Wanajamvi,naomba kuliweka wazi hili mwaka Jana 2016 mwezi August katika shule ya sekondari Kidodi kuna mwanafunzi alisimamishwa masomo kwa tuhuma kuwa ana ujauzito baada ya kwenda kupima zahahati...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Huu Uzi ni special kwa wale waliapply chuo mwaka Jana na wakapata chuo lakini hawakwenda kuripoti je ? Wameapply mwaka huu dirisha la nacte lilofunguliwa Jana wamekubaliwa kuapply ?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za Jumapili mabibi na mabwana? Katika harakati zangu za kusaka scholarships za kusoma Degree ya Pili katika fani za uongozi, nimekutana na hii ya kwenda USA lakini kusoma Masters ya dini...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Hivi na kesho wakituzingua tena kuhusu kutupangia vituo vya kazi tufanyeje? Maana unaweza kushangaa hiyo kesho wakaonekana mida ya saa kumi na kuanza kutupa story kama kawaida yao. Mbona...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
wakuu nilikuwa nahitaji kujua kwa wale ambao walikwisha wahi kusoma diploma au degree ya kwanza mfano S.Africa ni vigezo gani vinatumika katika kubadilisha matokeo yako kupeleka katika mfumo wao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MATOKEO KIDATO CHA 4 Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%. - Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea...
16 Reactions
786 Replies
187K Views
Habar zenu wapendwa JF........... Napenda PCM lkn cjajua coz nzur ya kusomea.Tafadhalin naomba ushaur endapo nkichukua PCM coz ya kusomea kama ntafaulu kwa uwezo wa mungu nikiingia chuo.
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Habar jf, Ninatumai mu wazima na mnaendelea vema kufatilia hii series ya Mh Makonda. Moja kwa moja kwenye maada, naomba msaada kwa anaejua shule za private ambazo huwa zinawah kufungua kwa...
1 Reactions
0 Replies
683 Views
Back
Top Bottom