Habari za valentine!
Wakuu kwa hii drama inayoendelea chuo kikuu kishiriki cha elimu DUCE hakikubaliki kabisa kwani kinaumiza na haiingii akilini kwa wahitimu wa mwaka 2016 kuhitajika warudi chuo...
Jamani habari zenu humu ndani,
Nilikuwa naomba kujua kama mtu aliyemaliza Diploma ya Clinical Medicine na akapata GPA ya 3.5 matokeo ya mwisho akitaka kujiunga na degree ya MD inawezekana.
Je ni...
Nimemiss matukio ya hizi shule mbili sababu zilikuwa kama mapacha lakini Eckernforde ndo walikuwa kama waalimu wao.
Hebu tujikumbushe jamani tuliosoma shule hizo miaka hiyo!
Tuchukulie mfano unafanyika utafiti leo hii.... ni vitu vingapi tulivyojifunza shule (ya msingi, sekondari O - level na Advance Level) vinatusaidia katika maisha ya kila siku?
Najaribu tu kuwaza...
Kuna mdogo wangu anapenda kuwa daktari naombeni Chuo cha afya kwa level ya diploma ni IPI??
Kipi ni kizuri? ana div 2 form four na GPA 2.7 PCB, msaada plz.
Habari za usiku wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza natafuta chuo kwa ajili ya kusoma ORDINARY DIPLOMA IN ELECTRICAL ENGINEERING, nahitaji kujua chuo kinachofaa na vizuri zaidi kiwe kipo...
Salaam wakuu Naimani humu kuna watu wenye uwezo na fikra pana
Nimeona nilete hoja yangu kwenu mm nina 21 yrs sasa Elimu yangu kidato channe
Lakini Nina shauku au nina ndoto zakuja kuwa kiongozi...
Katika maisha ya elimu, kuna maajabu mengi. Yaani katika mazingira sawa. mepesi au magumu lakini utakuta zaidi ya 70% ya wnafunzi wanakimbilia masomo ya Sanaa na biashara na kuachana na sayansi...
Habari wana jf!
Ninamdogo wangu alihitimu mwaka Jana ana div 3 ya 22 ameharibu michepuo karibu yote ana C 6 za kemia, baiolojia, jiografia kiswahili civics na,English historia d,phys na math f...
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesitisha mpango wa kuwafanyia mtihani wa udahili wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu katika shule za sekondari za...
Nimeapply Chuo cha mweka kwenda kusoma wildlife management certificate but natoka familia masikini nisaidieni mashirika yanayofadhili maana karo tu ni million kwa mwaka mmoja
Wakuu habarini,
Najua kuna wazoefu humu wa hili suala na wataalamu mbali mbali nimatumaini yangu hapa nitapata suluhisho
Nina mdogo angu anapass ya mchepuo wa CBG(chemistry..biology...na...
Habari za Leo wanajamvi,
Naombeni msaada wenu wa kupata past paper za QT kuanzia mwaka 2006 - 2013 za History, Geograph, English , Kiswahili na Civics . nina msichana ninayemsomesha...
HABARI WANA JF!
Hivi hizi maabara ktk shule za kata zina maana gani? maana mi tangu nipo form one mpaka sasa niko form four hatujawahi kufanya practical yoyote. je, kwani practical huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.