Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ukweli hawa jamaa wapo vizuri, wanaajiriwa kwa kutumia njia nzuri tofauti na njia wanayotumia wizara ya elimu. Huweza kuajiriwa kwenda kufundisha shule hii bila kusailiwa na sekretarieti ya ajira...
3 Reactions
83 Replies
11K Views
Nikiwa najaza details zangu wakati nikiomba kazi online au scholarship huwa nakwamia kwenye hicho kipengele hicho cha kujaza postal code/ZIP na country code. Mwenye kujua naomba anitajie.
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Tofaut kati ya BACHELOR OF SCIENCE IN EDUCATION na BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION kwenye field opportunities.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Niliwahi kuambiwa kwamba kuna watu huzaliwa na vipaji Fulani.. Mfano kucheza mpira,kuimba,.. Usanii wa aina mbalimbali pia ukiwemo..na uwezo wa kimasomo vitu kama hivyo... Nimekuja kuona kwamba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi degree ya Psychology ipo kwa mtindo wa masomo ya jioni? Ni wapi naweza kusoma jijini Dar es Salaam?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari! wapendwa naweza kupata soft copy ya kitabu hichi go tell it on the mountain by james baldwin Msaada tutani wapendwa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkoa wa DSM umetoa shule sita za mwisho kwenye matokeo ya kidato cha nne-mitihani iliyofanyika 2016 na matokeo kutoka siku chache zilizopita.licha ya mkoa huu kuwa na makao makuu ya mamlaka zote...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nauliza mwaka 2017/2018 elimu ya juu imefunguliwa tayari au bado
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hatimaye kile kilio cha wengi sasa kimepata ufumbuzi bodi ya mkopo ya elimu ya juu nchini Tanzania HESLB imeachia majina ya awamu ya kwanza ya wanafunzi waliopata mikopo baada ya kuappeal kuna...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA TAARIFA KWA UMMA Baraza la Mitihani la Tanzania limesikitishwa na taarifa ya UONGO iliyotolewa na Gazeti la Nipashe toleo Na. 0579130 la tarehe 19 Februari 2017...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za usiku. Ntumaini sisi sote tunafahamu kuhusu hili swala la elimu msingi ambayo inamtaka kila mwanafunzi kusoma kuanzia elimu ya awali mpaka kidato cha nne bila malipo (maarufu kama...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la amani. Mdogo wangu alipangwa na NACTE kwenda kusoma diploma ya pharmacy ST FRANCIS COLLEGE Ifakara.. Sasa hakwenda kwa sababu ya matatizo ya kiafya. Sasa nataka afanye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
"umasikini umegawanyika sehemu mbili,yaani umasikini wa mawazo na pesa.Ndani ya umasikini wa elimu kuna umasikini wa mawazo. Hakuna umasikini mbaya kama umasikini wa mawazo kwa maana kwamba...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
someni uchafu wa hicho chuo kwenye attached file...DON'T RISE YOUR VOICE TILL YOU HAVE AN ARGUMENT
0 Reactions
66 Replies
28K Views
No content to show
1 Reactions
0 Replies
556 Views
Msaaada anayejua chuo kizuri cha veta na pia masomo yanaanza lini. Ni mdogo angu anataka asomee mamba ya umeme
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Division One ya 8 alipata Civics-A, History A, Geog-C, Kiswa-B, English-B, Phy, Chemistry,Biology, Maths yote A, Computer D MY TAKE: Mimi sina ugomvi na mtu nimeweka tu kama INSPIRATION
27 Reactions
101 Replies
23K Views
Samahani ndugu naulza TUTION zilizopo mwenge dar na bei zake ili niende nikasome ,,,naulizia bei za topic Kama vile 1.mechanics (physics) 2.general chemistry 3.physical chemistry 4.organic...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Naomba nisaidiwe chuo kinachotoa maafisa wa michezo na maafisa tamaduni,maana nahitaji kusomea hivyo.
1 Reactions
0 Replies
530 Views
Habari yenu,kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mmoja wa wanafunzi anaesoma SUA,kasema kuwa matokeo ya mwaka huu yavunja rekodi,kwani kuna discontinue 150,prob:6993.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom