Wanabod nimehtimu fani ya maendeleo ya jamii ngazi ya stashahada ambapo nlianzia na koz ya nabe(pre entry) hapo awali ilikuwa iktolewa na serikal kwa walokosa vigezo, nmeshndwa kuendelea na elimu...
TCU wametoa majina ya wanachuo waliodahiliwa vyuoni bila eti kuwa na sifa!
Udahili wote wa vyuoni ulifanywa na tcu kwa kupitia mfumo wao wa cas.Huwezi kuingia cas bila kuwa na index no. ya mtihani...
Salamu wakuu
Imekuwa kawaida kwa watanzania na wasomi wa nchi hii kulalama kila uchwao kwamba elimu ya Tanzania haimjengei mwanafunzi uwezo wa kujitegemea mwenyewe pia mambo mengi yaliyopo katika...
Jamani nimeombwa ushauri hapa nikashindwa kujibu , kwamba kwa mwanafunzi aliyedisco na alikuwa sponsored na HESLB, inatakiwa afanyaje ili kuomba upya na kuwa sponsored pia?
Nimeona chinese scholarship zimetangazwa, sasa kuapply kuna njia mbili, kuna kuapply moja kwa moja kwenye chuo unachotaka kusoma na njia nyingine ni kuapply kupitia ubalozi wa china, Kwa wazoefu...
wakuu mimi nilikuwa nahitaji kurudia mtihani wa kidato cha nne kwa shule inayofaulisha vizuri hivyo napenda anaefahamu ada ya Tusiime anisaidie niitambue au shule yoyote ilio vizuri katika maswala...
Wanajukwaa habari za Leo, ninaomba msaada wa mawazo, faida na hasara, ya kusoma Master degree Open University, nataka kusoma degree ya Biolojia, kwakuwa watoto bado wadogo, pia nataka kuwekeza...
Wakuu Mimi nimemaliza kidato cha sita 2016 HGL naitaji niende kusoma kozi ya Law enforcement so plz wakuu anaeilewa coz ii plz Masada naamini nitasaidiwa
Hivi ni kweli kwa wale wanaodaiwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu, hawawezi kwenda kusoma nje ya nchi mfano kuchukua masters mpaka wamalize kurudisha mkopo wao wa elimu ya juu au ?
Habari
Ni kama swali jepesi sana kwa nyakati hizi lakini nahitaji sana ushauri na maoni yenu.
Nina mtoto mdogo wa miaka miwili na miezi kama 4, mama yake anataka tumpeleke shule, pamoja na...
Habari zenu , naomba kusaidiwa hili,
Kkatika somo la geography form three kuna topics za physical geography ni ndefu sana huwa mnatumia mbinu gani kuzimaliza kuzifundisha kwa muda mfupi
Mwanafunzi kamaliza certificate ya "Youth work" na ana pass ya "Mathematics" secondary education.. chuo cha mwalim nyerere soo anataka kusoma diploma ya "Marketing management" je!? chuo kipi ni...
Hello JF members.
Naombeni anaefaham sehem (duka) ambayo naweza kupata chemical na vifaa vya Maabara hapa Dar (ukitoa LAB EQUIP) naomba anisaidie kwa kunielekeza.
Either by comment, PM or call...
Wakati narudi toka job nikapitia kwenye kikao cha kahawa mtaani kwangu. Hapo kuna watu wameishia la tano tu ila wanajenga hoja si mchezo. Mada ni kuwa kuna wanaosema mainjinia wao ni kubweda...
kuna utaratibu wa serikali kuoffer scholarship kwa Wanafunzi mbali mbali kwenda nchi kama
China,Russia,Ukraine,India Algeria nk
Kufuatia seke seke hili la wadeni wote kutakiwa kurejesha taratibu...
Naitwa mwl George Temu nafundisha mathematics ktk secondary moja hapa mjini Moshi.
Mwaka 2015 nilipewa ruhusa kwenda masomoni SUA (bachelor of mathematics and informatics), lakini nyuma ya pazia...
Use below link 1 to signup and get 10 GB free cloud space where you can copy all the below files (ACCA MATERIALS) on link No.2 to your account.
Link 1:http://mfi.re/?frb0e8i
Follow below link to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.