Hivi ni kipi bora kusoma diploma in early child hood care and education(stashahada ya elimu ya awali) Na kusoma na diploma in primary education lakini ni kwa masomo ya sanaa?
Mimi nilimaliza form 6 mwaka 2015 Nina Physics D Chemistry B na Biology B+ nilichaguliwa chuo cha St John bachelor of pharmacy ila sasa nimeacha kwa sababu ya kukosa mkopo. Naombeni mnisaidie...
....mie nadhani sababu za shule mji wa Dar kuwa wa mwisho ni pamoja na;
...shule nyingi kuwa DAY na sio BOARDING,
...Boarding,huwa kuna mazingira rafiki ,kwa mwanafunzi kufanya vizuri,kwani...
Kutokana na sera iliyopo kwa sasa ya elimu kuwa bure ambapo kama tujuavyo elimu inamchango mkubwa sana ktk maisha yetu,lkn binadamu/watanzania hatuitaji elimu bali tunahitaji elimu bora.
sasa kwa...
Leo tar 27 febr majina mengine ya mikopo yamebandikwa chuo cha StJohn ,Majina ya watu mia hamsin150 ya walio Appeal ; Kwa tulio Fanya Appeal tusikate tamaa majina mengine bado yanatoka.
Polen na majukumu wadau.Samhani naomba msaada wa kunijuza ni shule zipi za boarding (O level),zenye ada isiyozidi 1m kwa mikoa ya Pwani na Morogoro.
Kwa anayefahamu
Asanteni.
Dah. ..leo kwa mara ya kwanza najuta kwanini sikumpa kura huyu mzee..pamoja na yote nakumbuka ahadi yake ya kufuta madeni yangu ya bodi ya mkopo. Magufuli ...this is too much!!!!....
Ongezeko la...
Nahitaji kutuma maombi ya mdogo wangu katika ngazi ya diploma katika vyuo vya sayansi, amemaliza form 4. Naombenii msaada wenu, je kwa mwaka huu kuna vyuo havijafunga kutuma maombi?
Msaada kwa mwenye ufaham kuhusu course tajwa hapo juu.. kuanzia qualification za kuingia, muda wa kusoma ni miaka mingap,na ada zipoje? msaada tafadhali.
Nauliza tu, hivi tokea lini NECTA wanatoa vyeti kwa waliopata division zero? Maana nimesikia na ninaamini asilimia kubwa baadhi yetu tumesikia hii kauli ya kuwa kuna mtu ana cheti cha mwenzie kipo...
Kuna dgo alimaliza 6 mwaka 2015 akapat D-bio,D-geo & s- chemistry
Anatak aombe degree ya medical laboratory..... Je anaweza pata au anyooke tu kwa diploma????????
#msaada!
[emoji121]
WAKUU,
MSHAHARA UNAOBAKIA BAADA YA MAKATO YOTE KWA MWALIMU ANAYEANZA NA DIPLOMA
NI
TSH. 418,700/=.
WAKATI BAADA YA 'UFYONDHAJI' WA HII ASILIMIA YETU MPYA HII 15% NA MAKATO MENGINE...
Habar wadau,kuna group la walimu wa sc phy,math,chem na bios limeundwa ili kumake discussion na kushare vitu mbalimbali,vinavyohusu masomo yetu,changamoto tulizonazo na nn kifanyike, nitafute...
Wale ambao majina yao yametolewa na TCU kwamba hawana vigezo ,hata kama ulimaliza chuo, cha kufanya ni kwenda chuo ulichosoma ukiwa na vyeti vyako vyote
Kidato cha Nne
Kidato cha sita
Kama ni...
Kwa wanavyuo ambao majina yao yapo kwenye tangazo la TCU wametakiwa kutokua na hofu
[ Msemaji mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Edward Mkaku ametoa ufafanuzi kuhusu tangazo lililotolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.