Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Natafuta mwalimu wa hesabu kwa ajili ya tuion ya mwanangu yuko shule ya English medium. Eneo Tabata kisiwani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana social science huwa wanatumia indicators kupima variable flani katika jamii. Mfano kuna indicators za kupima kiwango cha umaskini, indicators za kupima kiwango cha ujinga n.k. Sasa kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jins kutuma hela unapofanya application nacte unaanza lipa kwa M-PESA au tuma pesa
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Ndugu Wadau msaada kwenye tuta: Nahitaji sana kusoma hii course na sina ufahamu inapotolewa kwa hapa Tanzania, mwenye ufahamu Tafadhali anisaidie Ningependa kupata maelezo kuhusu mahali...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani wana jamvi naomba kujua. Kwa kozi zitolewazo ADEM kwa level ya diploma, je unaweza utumie ufaulu wake kusoma degree ipi na wapi ? Ikizingatiwa kwa sasa ni mwalimu wa daraja la IIIA
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Mwanafunzi ambaye anataka kupata alama za juu katika mtihani wake lazima awe mtu wa kujiandaa kila siku kwa kutumia dondoo zifuatazo ili kujihakikishia uwezo wa kufaulu na kuepukana na dhana ya...
1 Reactions
5 Replies
22K Views
Jaman wana jf kama kuna shirika linalotoa mkopo. Tofauti na heslb atujulishe hapa
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Matokeo mabovu, matus kwa walimu, kazi kubwa mshahara mkia wa mbuzi, kuishi vijijini kusiko na fursa chanya, maumivu ya 15%, kutokopesheka zaidi ya 7,100,000, kupigwa na wananchi, n. k, n...
9 Reactions
24 Replies
4K Views
SIKU moja baada ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutangaza utata wa udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu, wadau wakubwa wa elimu, wamejitokeza kupinga hatua hiyo. Wadau hao ni pamoja na Chuo...
4 Reactions
98 Replies
14K Views
Naomba mnifahamishe jinsi ya kutuma maombi Necta yaan ku aply nmetuma 20000 lkn inaonyesha nmebugi hasa pale kwenye kuanza kutuma hela unaingia kwenye no ya compuni au WAP? wakuu nmeshapoteza 20...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kutokea diploma 3.4 GPA, degree anaenda huyu mwaka huu?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wale tuliosoma shule ya wajanja AZANIA tujuane kupitia hii thread kwa kukumbushana vituko na vijambos vilivyotokea kipindi hicho upo ndani ya shamba la One(Azaboys)...........Tafadhali kama unaona...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code walizokupa hapo. Kumbuka format ya form 4 no. ni s0001.0001.0001 na sio s0001/0001/0001 Link hii hapa...
6 Reactions
418 Replies
165K Views
habari wadau 1.Naomba msaada kuhusu fully funded scholarship zitolewazo sehemu mbalimbali dunia 2.Jinsi ya kuomba hizo scholarships 3.website mahsusi za scholarships
2 Reactions
3 Replies
865 Views
Habari zenu wakuu Naomba kusaidiwa tofauti kati ya Diploma ya clinical medicine na clinical officer, Msaada wa haraka tafadhali
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Wakuu nataka Kajiunga na VETA ni fani ipi yenye soko kwa sasa ?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
To all who are interested in pursuing Certifcate in Medical Laboratory Sciences, Certificate in Pharmaceutical Sciences, Diploma in Medical Laboratory Sciences and Diploma in Pharmaceutical...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndalichako tunakuomba ufute form four tuanze na cheti maana naona kijana Mako anafanya vizuri. Hii ni kwa Zulu sababu Mako hakuwa na sifa ya kujiunga na cheti hapo Nyegezi lakini kwa kutumia sifa...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Wakuu habari zenu! Ninaomba kujulishwa kuhusu tangazo la nacte la tarehe 23 january kuhusu kufunguliwa kwa dirisha la udahili wa ngazi za cheti na stashahada . Moja ya sifa za mwombaji wamedai...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom