Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Salam wanabodi. Kuna jamaa yetu mmoja alienda kuoa huko kijijini kama miaka4 iliyopita.Baada ya kufika mjini akamuona mkewe ana nia ya kusoma,akamtafutia QT ya hapo maeneo ya Akiba Dar.Binti...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Nina shida kidogo nahitaji msaada wenu..kwa yeyote anefahamu shule za sekondari zilizopo morogoro anisaidie maana tunatafuta shule za kufanyia TP...Kama pia kuna mawasiliano...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau, Mjomba wangu amepata hofu kuwa binti yake hajamaliza chuo, siku ya graduation ya graduation alikataa kwenda lakini hakuna aliyehisi kitu kwakuwa hajawahi kufanya graduation hata alipokuwa...
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Wakuu Laptop yangu hp inawaka lakini haidisplay chochote kwenye kioo, tatizo linaweza kuwa nini?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Samahani kuna tangazo nimelisikia kwenye redio ya clouds kuhusu wahitimu kidato cha nne 2016 kushiriki katika uandishi wa essay inayohusu jambo lolote katika nchi yetu yaani ni kuchagua kichwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa wapi Viatbu vya serikali vinauzwa..Location Dar es Salam.
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Wadau nataka niombe chuo diploma ya Engineering vyuo vya Serikali sasa nacte wamefunga dirisha, je watafungua tena mwezi wa ngapi??? Ni hilo tu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo napenda kuongelea swala la mafanikio kupitia mtu yaani mtu aliefanikiwa anapoamua kuwasaidia wengine wafanikiwe kama yeye au hata zaidi yake hasa vijana wanaposaidaiana kama vijana Cha...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Habar zenu wakuu, matumain yangu ni wazma na afya tele naombeni mniuze hili nina kijana ambaye kamalize form 4 na anahitaji kujiunga na ualimu yani kuwa mwalimu kwa ngazi ya chet Naombeni mnijuze...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nikipomaliza kidato cha nne sikua nimelipa ada ya mtihani hivyo basi matokeo yalipotoka ya kwangu sikuyaona.nimefatilia wakaniambia matokeo yakikaa miaka miwili bila kulipiwa yanafutwa mtandaoni...
0 Reactions
32 Replies
20K Views
nilikua naomba kuuliza mimi nilikua na cheti chenye pass ya masomo matatu nikaja kurisiti masomo mengine tofauti na yale nikapata pass tatu nyingine za masomo mengine swali je ninaweza kupata...
0 Reactions
3 Replies
741 Views
mi nina swali hapa . eti ukisomea combination ya HGE unaweza ukasomea pia BCOM hapo baadae
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kwenye uchaguzi wa degree programme ya tano nimejaza>Bachelor degree in Labour relations and Public management. Je ajira ni maeneo gani? Mimi ni Mwalimu nimeamua kubadili fani ili...
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Aliyechaguliwa Mbeya University of science andtechnology tafadhali anipe update ya kinachoendelea chuoni endapo ameshawasili au atakama anajua lolote kwasasa
0 Reactions
8 Replies
937 Views
Ndugu zangu polisi, hivi huko police training school, mnafundishwa kupiga virungu, mateke, risasi na kuua? Hakuna somo la kusimamia maandamano yawe ya amani? Hakuna somo la utaratibu wa ku-deal na...
1 Reactions
7 Replies
924 Views
Wakuu naomba mnijuze hv ualimu ngaz ya chet bado upo mana nataka niombe mwaka huu,Nina div 2 form four na div 3 ya cut point ya5 advance,ila uwezo was kusma dgree au dplma ela cna,nataka nsome cht...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakali wa history swal hilo WHY Agriculture technology remained backward in Africa During colonial era??
0 Reactions
1 Replies
3K Views
ndugu mtanzania jihadhari na matapeli wanaojiita shirika la elimu tanzania. shirika hili linamilikiwa na matapeli gordon na wendy na wamekwisha walaghai graduates, diploma na A&O level students...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu Ofisi za TCU & NACTE kwa dar es salaam ziko wapi. Nisaidie safari yangu ikianzia ubungo
0 Reactions
18 Replies
20K Views
Back
Top Bottom