Habar zenu wana jf, mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu 2015, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka, nahitaji ushauri kutoka kwenu je ipi inasoko kwa sasa, na pia ni rahisi kujiajiri...
Nmerisit Nmepata division 1 ya 17 kwa pass hz Histry Geog na Bios nmepata C Math kiswahil literature na english structure nmepata B na physics chemistry na civics nmepata D.Nahtaj kusoma CBG Je...
Samahani kwa kubadili mawazo kila siku but napenda kutengeneza future yangu iwe poa
Tatizo lang ni matokeo ya form four necta 2016 yapo hiv hist,bios,chem,civ,kisw nna C eng-B geog-D na phyz...
Habar wana jf naomba kuuliza kati ya mtu aliye anza ngazi ya chet,diploma na kisha degree na mtu aliyetoka form six then degree yup anakua na nafas kubwa ya kuchukuliwa pale watakapo omba kazi...
Habari wana jf
Naomba kuliza kuhusu mawakala wa kazi Za nje ya nchi au nafasi Za scholarships
Km kuna mtu aliye na uelewa kuhusu hawa watu, tafadhali nipe link zao .
Natanguliza shukran .
Zamani ilikuwa mtu anafaulu then jina lake linauzwa kwa wenye pesa. Aliyefaulu matokeo yanatoka yanaonyesha amefeli kumbe Kuna mtoto wa kigogo amepewa na yupo anasoma huko shule ya vipaji. Kuna...
Ndugu zangu vyeti feki ni "mass destruction weapon" na kwa mtizamo wangu hii ni hatari kuliko kitu kingine chochote.
Taifa likilea tabia ya kufoji vyeti kwanza matatizo yanaongezeka. Yaani...
Habarini wandugu..
Utafiti uliofanywa na baadhi ya wadau wa Elimu ni hakika kuwa vyuo vya private vinazalisha watenda kazi mahiri yaani (COMPETENT).
Kama unabisha changia ila kwa hoja. Ndo...
Habari wanandugu.
Ninaomba kujuzwa au kuelekezwa shule ambayo inachukua combination za Sayansi na Sanaa zenye gharama nafuu za private na zenye kutoa elimu bora. Naomba pia kujua na ada zake...
Hills are alive with the sound of ants talking to each other
Advances in audio technology have enabled scientists to discover that ants routinely talk to each other in their nests.
Most ants...
Kwa miaka kadhaa sasa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na sita yamekuwa yanatolewa kwa kutumia namba za watahiniwa tu bila kuweka majina yao. kwa kiasi kikubwa tunaamini ni kwa sababu ya...
Wadau wa elimu hebu nisaidieni kutatua haya maswali? Dogo amepewa homework sasa mimi mama ninatoa macho maana sikumbuki haya mambo:
1. Nomino KITI ipo katika ngeli ipi?
2. Kitenzi cha neno...
Jamani wana JF hii kozi hapa Nchini mbona haipo na nikiangalia kwenye Prospectus ya UDsm naona imeandikwa na pale chuoni haifundishi ............hii mambo imekaa vp na hapa Tz nasikia wataalamu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.