Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba msaada wakupata notes&past papers za necta kidato cha sita kuanzia 2012_2015 kwa mwenye nazo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari ya wakati huu... Natumaini wote humu ndani ni wazima na mnaendelea Vizuri na shughuli zenu za hapa na pale japo changamoto haziepukiki... Twende moja kwa moja kwenye mada kumekuwa na...
3 Reactions
29 Replies
7K Views
wana jamvi mwenye mawasiliano na chuo cha ST. AUGUSTINE INSTITUTE OF HEALTH SCIENCES-MUHEZA anisaidie nna shida nazo
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ambaye anajua topics za paper ONE na TWO History na English anisaidie..
0 Reactions
6 Replies
905 Views
Ndugu zangu naomba uliza somo la History Advance ina Topic ngapi naomba andikiwa za Kidato cha Tano (5) Masaada wenu jamani
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Samahani wakuu, kwa yeyote anayejua topics za a level history and English language paper one na TWO anijuze plsss!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inawezekana kurisit somo ambalo hapo awali hukulifanyia mtihani......Msaada Jamani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikiwa nakaribia kufanya pepa ya cpa mwezi wa may kwa daraja la intermidiate stage nimeona sio mbaya kushare na wanajukwaa study text ili tuweze kuzisoma kwenye laptop ama simu zetu na pia ziweze...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mm nimuhitimu Wa diploma ya ACCOUNT Nina GPA ya 3.9 nahitaji kufanya kazi katika private sector or any organization nmeona nifanye kazi kwanza ndio niweze kujiendeleza badae naomba msaada kwa hilo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina GPA ya 3.0 nataka kufanya masters ya public health kwa scholarship, tafadhali mwenye uzoefu na haya mambo naomba ushauri nifanyaje, hofu yangu ni kwenye hiyo GPA (Tafadhari changia bila...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wana forums, ninamdogo wangu anasoma pale DSM institute of technology (DIT), anachukua civil engenering ngazi ya diploma , so anataka afanye transfer kwa madai yakuwa kozi ni ngumu sana ...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Is this writer a magician? His book, the alchemy is one of my favourite
0 Reactions
1 Replies
493 Views
Ni mwalimu nataka kujiendeleza. Namaanisha kuwa nisiathiri promotion katika madaraja.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Deleted member 421398
Kipindi sisi tunasoma miaka hiyo ya nyuma madaftari yetu yalipambwa na picha za sungura, mbuni na wanyama wengine katika kurasa zetu za mbele na zikapambwa na hesabu za kuzidisha (table ya 1 hadi...
1 Reactions
4 Replies
818 Views
What are the categories of driving licenses? The system of driving Licenses will comprise of various categories of classes of driving licenses as follows: Motor cycles A - License to drive...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Serikali kupitia wizara ya Elimu inautangazia umma wa watanzania nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo ya sayansi na hisabati waliomaliza 2014/2015 na kurudi nyuma. Tangazo la serikali limewekwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Niipongeze serikali kwanza kwa taarifa nlizo pata kuwa imetoa waraka wa likizo ambao utafuatwa huo na shule zote tanzania kama tetesi hizo ni kweli basi nayo ni hatua moja kubwa Lakin niombe...
15 Reactions
92 Replies
13K Views
SOMA UJUMBE HUU KWA UFASAHA BILA KUCHOKA, UTAELEWA VIZURI KABISA FURSA HII, KISHA ULIZA MASWALI PALE AMBAPO UTAHITAJI UFAFANUZI. HISTORIA YA ELINET AFRIKA ni MFUMO...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Hii ni special thread kwa wale wanaorudia mitihani ya CSEE au ACSEE yaani Watahaniwa binafsi waliowahi kufanya mtihan wa Necta na wa Maarifa Qt watupe mrejesho yaani 1.Mbinu...
1 Reactions
69 Replies
14K Views
Back
Top Bottom