Salaam wa ndg!
Nina kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha mwaka huu ila amepata daraja la 4 points 27, katika shule ya kata kunduchi beach.
kwa kifupi alikuwa anamaendeleo mazuri akiwa...
Wakati nachukua first degree(still Niko na first degree) nilikiwa ninawaona watu wanaosoma masters kule Mdigrii,mara utawala wakiwa na mapamflet wako wanasoma au wamebeba wanapita. Mara nyingi ni...
Heshima kwenu wanajamvi pia polen kwa uchovu wa majukum ya kila siku.....
Mi ni kijana mwnye shahada ya ualimu in 2016 katik chuo kimoja wapo hapa TZ na pia Geography na history ni teaching...
kama umebahatika kusoma shule ya sekondari MAKONGO kitu unakikumbuka na kipi unajivunia katika shule hiyo kwa kipindi chote ulichoku.
-respect makongo hihh school
1. Tuseme ukweli, hivi mimi nizae mtoto halafu watu wachache tu wanaokipenda kiswahili waniamulie kuwa mtoto wangu lazima asome kwa lugha ya kiswahili wakati mimi kiswahili sikipendi?
2. mimi...
EMPLOYMENT OPPROTUNITY- TUTORS- LANGUAGES & MUSIC
MWANAFUNZI CLINIC LTD:
BACKGROUND:...
Mwanafunzi Clinic Tanzania’s largest and most reputable tutor recruitment agency is launching a massive...
Wakuu samahanini kwa usumbufu na poleni kwa majukumu mliyonayo.
Napenda kuvijua vyuo vya afya vinavyotoa kozi ya diploma in clinical medicine kwa wale wanao jiendeleza I mean tayari wana...
Habari wanajamvi! Mimi ni kijana mwenye kutafuta shule ya Kidato cha 5&6 ya private yenye sifa zifuatazo;
1. Yenye kuweza faurisha vizuri.
2. Yenye Hostel.
3. Ada nafuu.(chini ya M_1.5 kwa mwaka)...
Jamani wana jimvi nimemaliza shahada ya ualimu ila nataka kuunga ila kwa kubadilisha course kwasababu sikuwa na wito wa kufundisha ila niliingia ualimu kwa madhumuni ya kupata mkopo na sikitu...
Tanzania tuna vyuo vingi sana vikiwemo private na goverment na nina matumani hivi vyuo vilianzishwa kwa ajiri ya vijana wanaotoka famili za masikini na familia tajiri.
Sasa inakuwaje vyuo...
WARAKA WA UDASA KWA WATANZANIA:
HAJA YA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA KATIKA NYANJA MBALIMBALI NCHINI
Machi 2017
Miaka ya hivi karibuni imeshuhudia ongezeko kubwa la mchango wa sekta ya huduma...
Habari JF mimi ni mwanafunz wa chuo. Level ya diploma. Nilikuwa naomba msaada namna ya kuandaa ratiba ya kujisomea. Kwa wale wataalamu ni vigezo vipi ambavyo natakiwa kuvifuata pindi ninapo andaa...
True Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) itaanza tarehe 30/01/2017, Dar Es Salaam City Center.
Kozi ni ya week tano (5)...
Habali wanajamvi.. Mim n mwanachuo.. Nimekua na tatzo la kukosa hamu ya kusoma kabla sijaona tar ya pepa.. Hii imenifanya kujiumiza sana pale ninaposkia ratiba imetoka kwa kusoma mambo ya mwaka...
1:KIJANA JITAMBUE
Pana kila sababu ya kijana kujitambua maana kijana anapojitambua anakuwa na uwezo mpana wa kuchanganua mambo kiyakinifu, anakuwa na uwezo wa kuona mbali ki-fikra..
Kijana ambae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.