Ladies and Gentlemen, today let's we make some critical discussions on philosophical questions.
1.What is the nature of reality?
(metaphysical question)
2).what is the nature of knowledge?
If...
KUBALI KUKOSOLEWA NA SAHIHISHA ULIPOKOSEA
Ili kujua ulipokosea kubali kukosolewa siku zote. Unapokosolewa lazima usahihishe makosa yako hautakuwa tayari kuonekana mtu wa makosa kila mara.
Watu...
Kuna usumbufu mkubwa katika zoezi la uhamisho wa wanafunzi ktk ngazi ya wilaya hususan wilaya ya Kinondoni.
"Tupo hapa tangu asubuhi na hivi sasa ni saa tano na robo. Wamekusanya makadi yetu na...
Habarini wakuu,
Napenda kuuliza kwa yeyote anayefahamu kuhusiana na kozi zitolewazo na OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA ngazi ya Diploma ni kozi zipi hizo na jinsi ya kujiunga na kozi hizo.
Salaam Wakuu!
Naomba msaada kwa anayefahamu shule hii iliyopo mkoani Tabora.
Shule hii inaendeshwa na Wahindi na nimesikia inafanya vizuri upande wa taaluma kiwilaya, kimkoa na kitaifa.
Kwa...
Ni katika mjadala wa matumizi ya lugha ya kiswahili.Akitoa hoja zake Dr Kulangwa akasema kuna mwanamuziki mmoja ameimba hivi "wacha maneno weka vyeti" ndipo ukumbi mzima wa Nkurumah ukalipuka kwa...
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma katika fani ya Mazingira. Nikiwa nimehitimu Bach. Of Arts In Geography and Environmental Studies (Ba,GE's) mwaka 2016
Baada ya kumaliza Degree yangu ya...
Salamu kwa Wote;
Kwa wale form six na Diploma holders mliomba au mnaotarajia kuomba nafasi TCU za kusoma bachelor tukutane hapa tupeane updates na maelekezo zaidi.....
Let's Learn and be...
Mimi najiuliza aliyekwamisha ajira hizi ni ndugu kutoka chato? Au mawaziri husika? Maana kumekua na Dana Dana nyingi toka mheshimiwa ahamie magogoni hakuna ajira wala nini na hawa waalimu serikali...
Jamani naomba mnisaidie Kama kuna mtu anafahamu shule zilizopo mwanza au shinyanga ambazo zina O-level na A-level na pia ni za jinsia zote ada yake isizidi 1.6m please
Habari wakuu
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu chekini account zenu kuona kama umechaguliwa.au kwa Maelezo zaidi ingia tovuti ya NACTE
Nawatakieni maandalizi mema.
Habari wana JF, ninaomba kuuliza kwa mwenye uelewa anisaidie kuhusu hili jambo.......nimesoma katika moja ya prospectus ya chuo kikuu huria cha Tanzania {open university} kuwa shahada ya kwanza ya...
Ni kwa nini necta hawajatoa ratiba ya mtihani wa kidato cha sita mpaka sasa tunaelekea mwezi wa tatu zaidi ya tetesi tu lakini ukiingia kwenye ukurasa wao hakuna ratiba ya mtihani au utaratibu...
Habari wanajf..
Katika maisha ya kusoma kuna hii topic ya "Evolution of man, Technology and Environment". Kwanza kuna nadharia mbili;
1. Theory of Creation- hii inazungumzia asili na chimbuko...
KIJANA TAMBUA VITU VIPYA KILA SIKU
Njia ya kutambua vitu vipya kila siku ni kusoma vitabu sana au kujifunza kila mara chochote unachoona ni kigeni kwako na hapa watu wengi wanaposhindwa ukimwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.