Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
JAMHURI YAMUUGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZAMITAA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU AJIRA MPYA ZA WALIMU WA MASOMO YA HISABATI NA SAYANSI KWA MWAKA 2016/2017...
5 Reactions
156 Replies
30K Views
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda kwa upande wa mfumo wa elimu yetu, nalishuhudia anguko kubwa la elimu likija kwa kasi. Wengi hamtanielewa, but mark my words....... Kwa mwendo huu, taifa litaendelea...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa yeyote aliyeripot kampala international university atupe Mrejesho mkopo ukoje na first year wameanza class
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani ningependa kujua kama majibu ya zile corse walizotangaza kufundisha bure pale donbosco zimetoka au? Make sielewi walisema tareh 10 ila naona mpka leo ni 14
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naombeni mwenye joining instructions ya bunazi kwa form five 2016, ndugu zangu ninashida
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hakyanani hili swali la somo la child right and development limenishinda naombeni mnieleweshe ama msaada wa namna ya kulielewa; Swali hili hapa;- Child development undergoes different stages to...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Nipo mwaka wa mwisho pale DIT nachukua fani ya biomedical engineering naomba msaada wenu km kuna mtu anajua chuo chochote bora kinachotoa degree ya biomedical engineering.
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Anaefahamu vituo vyao kwa arusha na moshi nomba anielekeze
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa wale Ma Hr au human resource Je applicant no ni nini ? Na unaipataje hii applicant no ? Na inatumikaje applicant no ? Nb wanarudishwa wale wenye applicant no kwanza
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Hivi hii ni haki wahitimu kukaa mwaka mzima mtaani? Hadi content zinapotea. Ni bora uwepo utaratibu wa kuwaajiri hawa walimu hata mwezi wa kwanza wa kila mwaka, walau wawe mtaani kwa miezi mitano...
0 Reactions
45 Replies
44K Views
Wizara ya Elimu ilitoa tamko kuwa wanafunzi wote wasome sayansi, mpaka hapo walimu wa masomo ya Sanaa na biashara hawana soko tunasomesha wasomi baadae tunawatelekeza sisi wenyewe, kwa miaka ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
..nimefuta
2 Reactions
1 Replies
715 Views
Jamani uhamisho ndo haupo kabisa au VP?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ana D masomo yote ya sayansi halafu ana C mbili masomo ya art.Nipe jina la chuo au shule ya sekondary form five inayoweza kumchukua,iwe ya bei nafuu
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Naomba kitabu cha humani resources management hicho hapo jamani
1 Reactions
1 Replies
533 Views
Jaman nna degree ya human resource natafuta chuo chenye bei nafuu kabisaaa
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za usiku ndugu zangu, naomba mnisaidie jinsi ya Ku dilute acetic acid/citric acid ambayo ipo katika powder into liquid
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari zenu wadau naombeni kujua tuishen nzuri kwa masomo ya Sayansi kwa advance ni ip mm Niko Dar
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom