Nimekutana na hili takwimu za maendeleo ya elimu katika shule ya sekondari Bwanjai. Si mazuri, trend ya ufaulu na namba ya wanafunzi kila mwaka inashuka (generally). Tatizo ni nini, na nini...
Habari wana JF! Nimesikia kuwa ukisharipoti Halmashauri unarejeshewa gharama zote za usafiri kutoka kwako hadi Halmashauri.
SWALI LANGU: Ikiwa nimetumia usafiri wa gharama kubwa kama ndege...
Habari za muda huu wadau... Naomba msaada namna ya ku calculate GPA za nacte kwa diploma anayetak kwnd degree... Mfano unakuta GPA ya mtu alopata chuo ni 2.7 then akifanya application nacte...
Naombeni msaada nataka kujua kuna vyuo vingapi vinatoa elimu ngaz ya cheti ktk sekta ya afya hasa course ya nursing na mkoa gani kipo naomba ushilikiano wenu nami nijue kuna mdogo wangu ana div 3...
Jamani naombeni msaada kuna utaratibu gani ukitaka kurudia mtihani Ku reseat mtihani form four na inabidi ujisajili kuanzia masomo mangapi kw a kufanya mtihani necta.
Mh. Simbachawene kwa mshikamano mkubwa na Mh kairuki wapeni watumishi wa umma walioomba uhamisho toka january mwaka huu.
Mbona mmewahakiki na wengi wao wanajihamisha wenyewe mnawabania nini...
Nilichaguliwa kujiunga na mzumbe university mwaka wa 2015/2016 ktk course mojawapo ambaye sikuwa interested nayo.Na nilipata mkopo
Sasa mim huwa sipend kulazimisha nafsi ila kwa msukumo wa wazaz...
Naomba kujua kama walimu waliokuwa wamemaliza postgraduate diploma in edhcation toka duce, muce, udsm, open etc kama wamepangiwa shule kipindi hiki....
Habari zenu mabibi na mabwana.
Kuna ndugu yangu amehitimu kidato cha sita mwaka Jana matokeo ilikuwa ni DEE sasa anataka kuresit ila hataki kurudia masomo yote anatafuta credit moja tu.
Sasa...
Ni Mwalimu wa Biology & Geography naomba msaada kwa wale walimu ambao wanang'atuka kutoka private school to government school kama walikuwa wanafundisha masomo yaliyotajwa hapo juu naomba...
Salaam kwenu wote
Nina ndugu yangu ana kijana wake wa kiume ambaye mwaka huu atamaliza darasa la saba na takuwa na 11-12 years.
Shida iliyopo ni kujua shule atakayokwenda huyu kijana baada ya...
Moja ya mikakati ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika kuandaa walimu ni kuhakikisha kuwa wanaojiunga na Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada ni wenye sifa stahiki.
Kwa...
Habari zenu wakuu,
Maneno ya rais magufuli wakati akifungua hostel za UD, hii taarifa itawanyong'onyesha wamiliki wa vyuo vingine, TCU hawatakiwi kuwachagulia wanafunzi vyuo, wajichagulie...
Habari zenu wadau,kwa anaejua ada ya Nursery ya hyo shule niloitaja hapo juu naomba anisadie maana haka kashule.anachosoma mwanenu majanga hakuna lolote anachopata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.