Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nikiwa ni mgombea urais wa daruso (Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam) kwnye uchaguzi mkuu unaoendelea chuoni sasa ni furaha yang sasa kushae nanyi wanajamvi wenzangu ili kwa...
4 Reactions
60 Replies
9K Views
Kwa yeyote aliye msoma anayekifahamu chuo cha ufundi kilichoko musoma kinachosimamiwa na taasisi binafsi ya kidini nisaidie mawasiliano na jina LA chuo hicho
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazee kuna kozi uko pale DMI inaitwa marine engineering technology ajira yake ikoje
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Stori za Juma Rose and Baraka? Hizi stori zilikuwa zinanikosha ile mbaya, mwanzoni ngeli ilikuwa haipandi kabisaa, ila nilikuwa nikiona picha za Juma,Rose na baraka stori ilikuwa inapanda...
0 Reactions
185 Replies
45K Views
Habari za mida hii. Naomba msaada wa vitabu vya a level audio books vya novels na plays. Naomba kuwasilisha. Ikishindana hata vya kawaida nikipata kwa pdf nitashukuru pia.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna form nimeijaza online ila nikitaka ku submit ina goma hadi nijaze post code na sizifahamu kama kuna anayefahamu naomba msaada niko Dodoma
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama mada ilivyo... Mimi nilisoma Diploma na niko kazini tayari. Nimeshakuwa na familia tayari. Nahitaji kujiendeleza kielimu ila kutokana na mambo ya familia nahitaji nisome wakati naendelea na...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Wana JF naomba kupata msaada wa links au websites ambazo zinaweza kunisaidia kupata mitihani mbalimbali ya primary english medium kwa masomo mbalimbali kuanzia std one up to seven, pia nahitaji...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu suala la ukosefu wa maji hapa udom college of education limezidi kushika kasi hasa kwa wiki hii, maji yamekuwa yakitoka kwa nadra sana tena katika block chache sana (si zaidi ya 4 kati ya 20...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Naomba nwemnye past papers za form six for chemistry, biology and geography for the year 2016, 2015, 2014. and more if possible
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mtu mwenye uzoefu na vyuo vikuu vinavyotoa degree ya kilimo uganda anipe maelekezo jinsi ya kujiunga au nifuate taratibu zipi
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Ikiwa imepita miezi kadhaa tangu wahitimu wa UDOM kuweza kuliwakilisha taifa kwenye mashindano ya 2016 MTN Entrepreneurship Challenge, Wahitimu hao wamekuwa tena washindi wa mashindano...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Kabla ya yote ninatoa pongezi na pole nyingi kwa majukumu mazito ya kulijenga taifa letu uliyonayo. Baada ya hapo mimi ninaitwa Theodory Byabatto mkazi wa Dar es Salaam. Ni mjasiliamali...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nipo kidato cha 6 combination ya HGL naombeni msaada wenu nisome course gan ambayo itanisaidia kwakipindi cha miaka 5 ijayo kujiajr ama kuajiliwa?
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Kuna vyama vingi vya walimu kama vile CWT, CHAKAWATA, n.k. Kila siku nasikia vilio vya walimu wengi kuhusu kutosaidiwa na vyama vyao wakati wa shida. Mpaka sasa nahisi vyama vyote ni majanga...
1 Reactions
174 Replies
14K Views
Samahani ndugu zangu naomba kusaidiwa kuhusu ku Apply scholarship hii ya mouritius maana mie nimeshindwa nianzie wapi link hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna tofauti gani kati ya bussines information technology( BIT) na information technology (IT)...maana nashindwa kuelewa ...mwenye uelewa apo anieleweshe tafadhari
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi, Najua kabisa humu ndani kuna watu wenye full information kuhusu ajira za walimu Wa msingi na sekondari tunaombeni msaada wenu kwa kutushauri au kutupa angalau siri kidogo kuhusu ajira hizi za...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Debora Sanja, Dodoma SERIKALI ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOSO), imeanza uchunguzi ili kuwabaini wanafunzi wa chuo hicho, ambao wanajihusisha na biashara ya...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Front Seat at the Slow Death of Nature This is not a so beautiful photo. I am standing at the rocky bed of the dried Great Ruaha River. Before 1993, no person had ever seen this sad nakedness of...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Back
Top Bottom