Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana ila huko Uganda na nikabadili matokeo yangu yakawa ya Tanzania sasa sijisikii kwenda Advance nataka niende Chuo sasa naomba msaada niende Chuo gani maana...
Pata uchambuzi wa jinsi gani wanafunzi wanafanya kwenye matokeo ya form four kutoka matokeo dot co
Pia ukiwa hapo angalia jinsi wanafunzi wanavyo ongezeka pamoja na namba ya shule zikiongezeka
Habari wana Jf na poleni kwa majukumu
Bila kupoteza muda naomba kujuzwa mambo machache kuhusu mkuranga
Halmashauri ya mkuranga ina
1:shule ngapi za sekondari
2: kati ya hizo shule ,shule...
Habari wana JF,
Mwenye uzoefu na vyuo vya Kenya Diploma niliyoitaja ada ipoje, duration, qualification ya kujiunga campus gani itanifaa mimi nina certificate ya ICT.
Karibuni bandugu wote.
kipi kizuri kwa utoaji wa diploma of electron and electrical engineering kuanzia lectures,practical na ufaulu JE kuna utofauti wa "diploma of electrical" na diploma of electron and electrical...
Yani namchukia Magufuli haswa yeye kwa namna moja au nyingine ndiye amesababisha maisha yangu ya chuo yawe magumu mpaka natamani kuacha chuo nikafanye mambo mengine kusudi nipate pesa za kunikimu...
Jamani msaada hivi ukihama kozi ndani ya chuo hicho hicho kutoka kozi moja kwenda nyingine na mkopo ukawa unapata kule kwenye kozi ya kwanza ambayo umehama ivi kuhamisha ili uje kozi mpya...
Habari za mchana wadau. Mimi nlipata matatizo nikaacha chuo bugando. Bahati nzuri mungu kanikumbuka nmepata sponsor anataka nisome education in biology and chemistry mpaka PhD. Lengo niwe lecture...
Habari za asubuhi wapendwa,
Lengo la kuanzisha uzi huu sio kujisifia kwa kupewa suspension shuleni, najaribu kukumbuka tu yale yaliyofanya nikapewa suspension shuleni.
Nakumbuka katika maisha...
Kubadilika badilika kwa mifumo ya elimu nchini bado kunarudisha nyuma elimu yetu ubora wa sera ya elimu Tanzania haujawahi kutulia miaka ya 2015,2026 tumeshuhudia vihoja vingi katika elimu yetu...
wakuu, habari za Asbh, natumai mu wazima.....Jana katika pitapita yangu Maeneo fulani hapa Dar TZ nikakutana na kijana Jina lake nalihifadhi, Form six alipata one ya PCM na kuchaguliwa kujiunga na...
Najua mnaosoma vyuo vya st, mmenielewa.
1. Hawa ndio wanaoongoza kwau uoga
2. Hawa ndio wanaoongoza kwa kuishi maisha kama ya primary au secondary ( sheria za vyuo)
Ongezea na mengine
MSc. In Natural Resource amnagement
Wakuu naomba kujua kuhusu hii kozi kwa chuo cha dodoma hasa marketability yake
Ada yake kwa mwaka
Nature ya masomo yake na ugumu wake...
Nataka nikaisome...
Habari za weekend wana jukwaa hili la pendwa la Elimu(Education Forum)?
Poleni sana na majukumu.
Mimi ni Kijana wa miaka 19 nategemea kurisiti mwaka huu masomo ya
-History
-Geography
-English...
Kama wenye vyeti feki wamefukuzwa, je serikali haioni kwamba hata idara zilizohusika kuwaajiri zinamatatizo na zinatakiwa kuwajibika kwa kukosa weledi wa kuhakiki watumishi kabla ya kuwapa ajira...
Salaam, Mungu awabariki wote wenye mioyo safi. Na wenye mioyo michafu Mungu awasafishe nyoyo zao.
Nikifwatilia waliochaguliwa kidato cha tano mwaka 2016/2017 kuna Private Candidate zaidi ya mia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.