Nimejaribu kuingia website yao , ila cjaona ada au gharama za master of busines management chuo cha ushirika, yani total cost mpaka unamaliza, kwa anaejua anisaidie ili nijipange kukopa pesa kwa...
Wadau wa elimu habari zenu.
Naomba kuuliza iwapo wale wasichana mapacha walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti wapo kwenye orodha ya watihiniwa wa kidato cha sita mwaka huu 2017?
Hii nimeitoa gazeti la mwanahalisi Jumatano November 4-10, 2009.
kati ya mawaziri waliokuwa na kashfa ya kujipa cheo cha udaktari wa falsafa (Dr.) wawili wameanza kukata shule Mzumbe University...
VIGOGO wa Serikalini walio madarakani ambao walighushi shahada za degrii bandia wametakiwa kuachia nyadhifa hizo pia na kurudi shuleni.
Msimamo huo umetolewa jana na Serikali kupitia Waziri wa...
1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.
2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa...
Wadau wa elimu msaada wenu.Ivi endapo una certificate of primary education unaweza kusomea diploma ya ualimu, or ni diploma gani unaweza somea kwa chet hicho.Msaada plz
Ndugu wanajamii hali ya chuko kikuu cha Dsm sehemu ya mlimani inatisha sana. Hii ni katka nyanja za elimu usafi mazingira na maadili.
Unapoongelea suala la ELIMU hali mbaya kwani siku zijazo...
"Elimu ni silaha yenye nguvu katika kuleta maendeleo kuanzia ngazi ya familia mpaka katika jamii kwa ujumla ".
Tathmini ya matokeo ya kidato cha nne Singida mjini
Na Japhari Saidi Mtoro...
Jamani kama kuna wafanyakazi wa UDOM hapa JF hebu tupeni majina ya watumishi 6 walifutwa kazi huko kwa kuwa na vyeti vya kichina (Bandia). Inatia aibu hii nchi. Wadu mnasemaje juu ya hili? Nini...
Bado Waziri wa zamani wa Elimu katika awamu ya tatu Joseph Mungai (MB) anakumbukwa kwa jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!
Lakini nyuma ya pazia ni kwamba...
Napenda kuwajulisha watanzania wenzangu kwamba tuwe makini na wahitimu wa University Computing Centre-Mwanza Branch na Instititute of Accountancy Arusha kwani kwenye vyuo hivi viwili kuna watu...
Siku ya Alhamisi tarehe 23/7/2009, Mbunge wa Singida Kusini Mh. Mohamed Misanga (CCM) aliahidi kuwasilisha hoja binafsi ya kuundwa tume huru ya Bunge kuchunguza Baraza la Mitihani na Katibu wake...
Date::11/23/2008
Kauli ya JK kuhusu elimu yakoroga wapinzani
Exuper Kachenje
Mwananchi
KAULI ya Rais Jakaya Kikwete kuwa serikali yake haikubaliani na matakwa ya wanafunzi kudai wakopeshwe...
Ndugu zangu
Nimekua nikifuatilia kwa karibu utendaji wa baraza la mtihani la Taifa la Tanzania yaani NECTA. Utendaji wake unasikitisha sana ukiongozwa na Dr Ndalichako. Nimekua nikisikia mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.