Waungwana habari! Naomba msaada wa kujuzwa shule nzuri ya sekondari ya bweni iliyopo mkoani arusha , ada isizidi milioni moja. Natarajia kijana Wangu aanze form one mwakani.
Nawasilisha
Wale wanafunzi wa diploma maalum ya ualimu wa sekondari masomo ya sayansi na hisabati waliohamishiwa vyuo vya Korogwe na Kasulu kutokea UDOM wametelekezwa baada ya wanafunzi kushindwa kwenda field...
Nina degree ya accounting ambayo toka nimemaliza ni zaid ya miaka mitano. Niko mkoani nimejaribu kuuliza nambiwa kwa kwa wadau wananiambia itabid niende foundation lakin nikisoma syllabus naona...
Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma
HOJA ZA WADAU KWA MWEZI MEI, 2016
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwashukuru wadau na wananchi wote waliotuandikia maoni...
Habari zenu,
Jaman tatizo langu ni kwamba kila nikijisomea madaftari baada ya masaa 24 nasahau nilichokisoma lakin ikifika siku ya mtihani kumbukumbu zinarudi.
Je hili tatizo linasababishwa na...
Jamani nacte washafunga zoezi la udahili kwa kozi za afya diploma na certificate kwa muhula wa mwezi April ila unaweza kuomba chuoni moja kwa moja wanakuingiza kupitia institutional panel waweza...
Habari zenu wakuu. Mimi nilichaguliwa mwaka jana kusoma kozi ya diploma, ila kutokana na matatzo ya hapa na pale sikuweza kusoma. Je, naweza omba tena mwaka huu nikachaguliwa bila shida yoyote...
Ndugu wanabodi, heshima kwenu wakuu,
Nadhani wote tunaamini elimu bora ndio msingi wa maendeleo, ila sasa elimu hii inaharibiwa na mamlaka husika zipo kimya zimetulia, sijui kama sababu ni rushwa...
Wadao natumai mu wazima na pole kwa waliopatwa na maswaibu mbalimbali ikiwa ni pamoja na wasafiri waliolala njiani kutokana na athari za mvua barabarani.
Nimefuatilia malumbano ya hoja...
Uyu ni mwalimu wa chuo cha mount Meru University, yaani ni jipu kubwa hapa chuoni analazimisha wanafunzi wamchangie ukikataa anakufelisha, anang'ang'ania kufundisha course za mwisho ili awatie...
Habari ya wikendi wanajf.
Mimi binafsi ni mzima wa afya njema. Pole ziwafikie wagonjwa, rafiki na familia waliopoteza watoto katika ajari ya gari huko karatu, R.I.P.
Nina mdogo wangu alihitimu...
Chemistry ya Advance ina sehem nyingi kama vile. General chem, Physical chem, Organic Chem na Inorganic chem. Sasa je kwa mtu anayeanza form five aanze na kipi na ni mtiririko upi aufuate ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.