Mimi mwanafunzi wa CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA. Kwanza nakipongeza chuo kikuu huria kuanzisha utoaji wa elimu kutumia e-learning (Moodle).
Mimi ninayefanya kazi katika taasisi binafsi ni...
Habar zenu wana jf?
Nina mdogo wangu anataka kujiunga na diploma mwaka huu anafanya final ya certificate mwezi wa saba na mwisho wa kufanya application za kujiunga na vyuo ni 20 August, Je...
Habari zenu wana jamii,
Naomba mnisaidie namna ya kufanya application ya vyuo ngazi ya cheti kupitia online pale NACTE maana naona tangazo tu la kwamba mfumo utafunguliwa tarehe 15/05/2017 lakini...
Biology =>B+
Chemistry =>c
Physics =>C
Mathematics =>D
English=>D
Kiswahil=>C
Geography=>D
History=>D
Civics=>C
Msaada wenu jaman maana apa sielewi niapply course ipi kati ya clinical medicine na...
Mara baada ya sakata la Uongozi wa Chuo cha Mtakatifu Joseph kutaka kumshughulikia kijana mzalendo ambaye ni Rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo hicho kwa kile ilichosema ni kosa la Kiongozi...
Naam. Katika kudahili kupitia CAS kunaibuka matatizo na changamoto mbalimbali.
Kwanini uteseke na hali kuna wataalamu na wazofu wengi humu?
Na kabla hujauliza tatizo lako, ni vyema kwanza...
Tukisoma waraka unaoitwa: “Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia” – ambao mtu anaweza kuupata kwenye tovuti ya Taasisi ya Elimu (Tanzania...
Kwa ufaulu huu niliopata naweza Ku apply chuo cha nn naombeni msaada wenu maana nataka ni reset mwakani
Hist-c
Geog-d
Civ-d
Kisw-d
Eng-d
Bio-d
Math-f
Kwa masomo ya science sikufanya Ila nilikuwa...
Ndg Wanajamvi kama nilivoandika hapo kwenye heading... Walimu wa ajira hzi za mwezi april znatufanya tunaishi kama njiwa ugenini mpaka muda huu kuna halmashauri hazijatoa pesa ya kujikim ikiwemo...
Msaada hapo maaana ukikosea kuchagua kozi nzuri now utajuta mbeleni na vyeti vyako. Naomba ushauri upande wa ajira maana kozi kama telecom inatolewa UDSM, UDOM na DIT lakini nimeangalia watu...
Kitendo cha mtu kwenda kuchota maji, je anaweza sema nafuata maji? Kiingereza chake ni " to follow water" au " to fetch water? Naomba msaada wenu kutoa utata
Tafadhali mwenye cheti cha kidato cha nne ambaye hakitumii tafadhali naomba tuwasiliane kama uko tayari kukiachia but uwe msichana. Cheti kiwe na at least point 28
Habarini wadau,
Nipo namalizia diploma yangu DIT katika idara ya ujenzi( civil engineering) nina mpango wa kusoma shahada ya kwanza nje ta Tanzania nilikuwa naomba ushauri eti ni vyuo gani...
Chuo kinaposema kinahitaji credits, huwa ni pass zipi? C and above or abcd
eg:
A holder of form IV certificate (‘O’ lever) of Secondary school education with three credits in
Biology, Chemistry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.