Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kikundi cha kukamilisha harakati za pale kati kilichojipa jina kali wametoa onyo kwa KIBARAKA yoyote na KIMBELEMBELE MUOGA yoyote atakayesogeza miguu yake St Joseph kesho wakati wenzao...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Naombeni mnisaidie nipate shule ya sekondary"HGL" mkoa wowote ila ada isizidi milioni1,,mtt wa kiume
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi ni athari gan za utandawaz zinazoikabili jamii ya Kitanzania kwa sasa,maana nimekuwa nikisikia kila kitu utandawaz naomba msaada wenu
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Hivi lini tunapata check no jamani tupate mshahara
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Shule yeyote yenye uhitaji na mwalimu wa physics na mathematics iliopo hii njia ya ubungo to tazara nije nifundishe muda wa field
1 Reactions
1 Replies
929 Views
Wadau zangu nilikuwa nina mipango ya kufungua chuo cha security system ambacho nitatoa mafunzo ya course za 1.Electrical fence 2.CCTV security system and alarm system 3.Biometric security...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa kilivyojieleza naomba MTU anisaidie namba ya mwalimu wa Loyola secondary au kwa ambae anajua pale Loyola secondary kuna walimu wangapi wa physics na mathematics anijuze
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HIVI mwaka huu kuna jkt? Maana inanitia homa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nmehemwa hapa baada ya kuona hata kusoma health records au environmental health kwa level ya cheti NACTE kupitia guidebook yao wamelazmisha biology nami skusoma biology ila nna ufaulu mzuri...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kisheria, kama mtu amepotewa na cheti au kuungua na moto anaweza kukipata tena NECTA??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wakuu... Natamani na nimevutiwa kwenda kusoma faculty ifuatayo Bachelor of arts in Geography with environmental management.. nimevutiwa nayo ila sina uelewa nayo.. Mwenye...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Jamani wana JF, Naombeni mnifahamishe kuhusu Lugalo Military Medical School.
1 Reactions
6 Replies
10K Views
Jamani samahanini eti matokeo ya kwalio chagyliwa yanatoka wapi jamani mm sijui
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Me nimehitimu kidato cha nne mwaka jana,nilikuwa naomba ushauri wenu wakuu,kupitia matokeo yangu haya yafuatayo, English B Math C Bios C Geo C Chem D Phyz F Kiswa C History D Civic D Kupitia...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Wadau hivi nacte mbn wqmeongeza kigezo cha B/math MTU unatakiwa kuwa ma D na vipi kuhusu MTU mwenye F ya math ila phyz D chemistry C biology C na English C anaweza kudahiliwa clinical medicine...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na ufaulu wangu huu niwaza kusoma kozi ya afya ya clinical officer au nursing kwan physics D chemistry C biology C English C math F ila jumla ya matokeo yang ni three ya point 22 na kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wana jamvi naombeni msaada kama kuna vyuo Tanzania vina offer degree tofauti na Open University. Pili kama hakuna mnisaidie hata vya nje ya nchi.
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Wadau nimefanya utafiti Mdogo katika suala la elimu ili kujiridhisha iwapo Tanzania tuna Wasomi au laa. Utafiti wangu umebaini kuwa Tanzania hakuna Wasomi ila kuwa watu wanaojua Kusoma Na...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Mnamo tarehe 10-05-2017,NACTE walitoa taarifa kwamba dirisha la udahili kwa upande wa Afya na Ualimu ngazi ya Astashahada na Stashahada litafunguliwa tarehe 15-May,lakini cha kushangaza mpaka muda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watu wawili kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi akiwamo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Nelson Matee (24) ambaye ni...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Back
Top Bottom