Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau wenye taarifa zozote kuhusu zoezi la kufanya marekebisho ya majina ktk benki yafanane na data za utumisho afafanue
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji syllabus ya Geography o-level na advance level soft copy
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Walipeni walimu mapunjo ya mishahara uhakiki umeisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye website ya nkinga au mawasiliano ya hapo chuoni please naomba mnisaidie
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Shule ya sekondari mtwango, inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2014 kama ifuatavyo; 1. Kidato cha kwanza 2. Kuhamia kidato cha pili, tatu, na nne 3. Kuhamia kidato cha tano katika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi wakuu kati ya nursing na clinical medicine IPI kozi nzur kwan guidebook ya 2017/2018 certificate ya nursing ni C mbili chm& bioz na D physics but certificate ya clinical medicine ni D flat PCB
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada kuhusu bodi ya mikopo,inafunguliwa lini kwa sababu watahiniwa wa kidato cha sita wanasubiri ili waanzake kutuma maombi.MSAADA TAFADHALI
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kuomba samahani kwa uzi huu mrefu Mimi ni kijana wa kiume nna umri wa miaka 22, nilimaliza kidato cha 4 mwaka 2013 katika shule ya jeshi makongo (dar es salaam) nikafaulu kwa...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Lini Dr. Magufuli rais wetu mpendwa utaitembelea chuo cha ufundi Arusha? Kuna ufisadi wa kutisha. Mkuu wa chuo ana PhD feki, amenunua vyombo vya serikali ikiwamo Takukuru. Jengo la km Tshs. 3...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Habarini na poleni na majukumu ya hapa na pale.... Nahitaji kufahamishwa shule ya ridhwaa seminary ipo maeneo gani???ila Mimi nachojua ipo wilaya ya Kinondoni lakini sijui ni maeneo gani kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari.mwenye kufahamu kuanza kwa masomo atc kwa wanafunzi wa diploma atuhabarishe.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Poleni na kazi wadau, Mimi nilisoma certificate katika chuo cha uhasibu kilichopo Ukonga (ACOM) na nikajiunga na diploma hapo hapo na nikamaliza na matokeo yalipotoka nilipata Overall ya 2.6 GPA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tafadhali ndalichako wasisitize bodi Husika ya mkopo Mwaka huu tunaomba pesa za field tulipwe kwa mkupuo usitupe nusu nusu kama Mwaka Jana unatuharibia malengo yetu Wengine pesa izo pesa...
0 Reactions
3 Replies
850 Views
Heshima kwenu wakuu, Naomba nifahamu kama chuo cha COTC Mtwara kinatoa fani ya ufamasia.
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Kuhusu hii admission mpya iliyotolewa na TCU na kuhusu cut point na marks zilitumika mwaka Jana na zitakazo tumika mwakahuu I mean grade atueleweshe nahic kama 4m 6 waliomaliza wengi mwaka Jana...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Naomba kujua hii RPL inakuaje na huwa inachukua mda gani kuifanya....
0 Reactions
2 Replies
662 Views
I need someone to sponsor me for clinical medicine Habari zenu wakubwa, natafuta sponsor wa kunisaidia financially, for school fees katika kipindi hiki cha masomo, kozi itaanza 25/9/2017...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwenye kujua sifa za kujiunga na kozi ya ualimu ngazi ya cheti anisaidie
1 Reactions
24 Replies
48K Views
Back
Top Bottom