Kwa mujibu wa maelezo ya waziri mwenye dhamana katika wizara ya TAMISEMI Mh. Simbachawene yaliyotolewa tarehe 20/4/2017 bungeni, uhamisho wa watumishi wakiwemo wanandoa ni haki ya msingi...
Tafadhalini nlikuwa naomba msaada wa kujua kati combination ya PCB na pcm ipi ina'apply kazi kirahisi (haina kukaa nyumbani Sana baada ya kumaliza chuo)....Na pia inauwezo wa kuchepukia kazi za...
Heshima kwenu wakuu;
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninamtoto wa darasa la nne nahitaji kumpeleka tuition maeneo ya around na Mianzini kipindi hichi cha likizo.
Mwenye uelewa wa sehemu...
Kila mwalimu wa darasa la 1 hadi 3 hugharimu shilingi milioni tisa (kabla ya kodi)
Kuna walimu 191,604 (wa darasa la 1 hadi 3) kwenye shule za msingi za serikali nchini. Kila mwaka walimu hao...
Mwenye kujua shule ya Private A level yenye mchepuo wa CBG katika mikoa hii Mbeya, Morogoro na Mbeya anisaidie kunitajia majina yake, sifa zake katika kufaulisha wanafunzi na Gharama zake pia...
Mfumo wa udahili wa pamoja kwa njia ya mtandao ulitengenezwa kutokana na tafiti zilizofanyika kuhusu manufaa yake katika kuwapunguzia wanafunzi na wazazi gharama za kutafuta, kuomba, na kujiunga...
Natafuta sehemu yakufundisha kwa muda masomo ya Physics na Mathematics, nina Bachelor of Electronics&Communication na nna uwezo wakufundisha masomo tajwa......napatikana Dar es Salaam. Kama kuna...
Naomba msaada was MTU aliye Dar anisaidie kupata chuo chuo cha usafirishaji kwa ajiri ya kozi za muda mfupi za udreva jamani msaada nitafute kwa no 0688474618
Hello. Naomba kuuliza D ya form six 2017 inaanzia ngapi au imebakia ile ya 2016 inaanzia 50-59. Au paka necta itunuku upya matokeo ya 2017 ndo watatoa .majibu Tafadhali kwa anaejua .ramadhan kareem
Nimesoma PCM pale Galanos s.s Tanga nikamaliza form 6 mwaka 2015 matokeo
Phy-B Chem-C A/math-B+ G/S-D o/level nimesoma shule ya kata (kiara s.s) nilihitimu 2012 nikapata DIV II ya 18...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.