Wakuu amani ya bwana iwe nanyi,
Juzi kati nipo katika route zangu za kusaka mkate nikapanda mwendo kasi from kimara to Gerezani,
Ile tumefika pale mapipa akaingia mzee mmoja hivi chek boob ana...
Wakuu naomba kufahamishwa juu ya hii shule iliyoko Kagera wilaya ya Biharamulo, katika swala la mazingira, taluuma na pia miundombinu ya umeme kwaajili ya kujisomea na pia maji.
Nawasilisha kwenu...
Much / many exercises
Decide whether you have to use much or many:
We saw _____ animals at the zoo.How _____ oranges did you put in the box?There isn’t _____ sugar in my coffee.I don’t have...
Tusaidiane
1.Eti certificate wanayo itaja kwenye maitaji yakufanya maombi dit ni leaving certificate au result slp?
2.Na ukisha Fanya maombi majibu yanatoka muda gani?
3.Je katika adda yao...
Jamani wakuu naombeni msaada kwa anae jua namna ya kusitisha masomo me nilikua nasoma clinical medicine chuo cha private ikafika mahali wakawa wanamindi ada yao kulipa nikashindwa kulipa jamani...
Samhnini ndg zang ngependa kuulza kwa mwenye uzoefu na shule tajwa hapo juu je inamichepuo ya sayansi???
Pia ni ya mchanganyiko au ni ya wavulana tuuu???
Naomben msaada wenu!!
Nilimaliza sekondary 2012 na kupata points 28 kwa D ya masomo 7 yani bios,geog,civcs,history kisw,book keeping,commerce .Je kwa koz ya community health naweza somea?? Or ni koz ipi naweza somea...
Wadau habarini za jumatatu, naombeni mnisaidie kufahamu vyo vya kati na vya juu vinavyotoa fani za urubani na maswala ya anga (Pilot studies and aviation management or any other related courses)...
Mtanikosoa , nadhani mwaka jana and the year before ni kuwa kama ulikuwa unajaza na huna credit zinazoruhusu, system ilikuwa ina ku-reject outright. Ni kweli kuwa unaweza kujaza hata kama umepata...
Nimefanya tafiti zangu nikagundua sisi wenye vielimu vyetu kadigree kamoja tunatusua kuliko wenye maelimu makubwa
Hebu tusaidiane nini sababu ili tuwaelekeze vyema watoto wetu nini cha kufanya...
Habari,
Kama title inavyojieleza ninatafuta mwalimu mtaalamu wa lugha ya kiingereza, ninatarajia kupata wageni wakorea, wanajua lugha ya kiingereza ila wanataka kuendelea kujifunza na kuweza...
Ombi langu kwa viongozi wa serikali jamani tunapigwa penalty eti kisa nimechelewa kulipa Ada hii ni haki? Sisi Wengine watoto wa wasaka tonge tunakaa wapi izo pesa? Tembeleeni vyuo vya private...
Habari wanajamvi!
Mimi ninawatoto wanamatatizo ya kutokuwa na hakili darasani ,najitahidi kuwapeleka masomo ya ziada kwa ushauri Wa walimu lakini bila mafanikio.Na ninajitahidi kutafuta pesa ili...
Wakuu naombeni msaada wenu course ipi ni bora na kwa nini kati ya Bachelor of Human Resources Management, Bachelor of Art in Natural resources Management na Bachelor of Art in International Affairs.
Ofisi ya Rais TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.