Kama PhD 17 za Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ) zimeshindwa kusimamia Rasilimali na Uchumi wa nchi hii hadi kuliingiza Taifa katika hasara kubwa ya Matrilioni ya Shilingi je kuna haja ya Watu wengine...
Hellow wakuu,
Nina mtu wangu wa karibu amepoteza cheti original cha matokeo ya kidato cha nne, lakini amebaki na photocopies zake tu.
Je kuna namna yoyote hizi photocopies zikawa certified bila...
Mara nyingi mtaani utasikia watu wakisema, “Jamaa anapiga slang si mchezo.”
Wengi hudhani “slang” ni Kiingereza cha Kimarekani.
Lakini maana halisi ya “slang” ni lugha ya mtaani. Ni ile lugha...
Nimeifuma hiyo ikizunguka, nadhani kuitafakari ni faida.
UHALALI WA TITLES NI NINI?
Kuna aina nyingi za title lakini si kweli kwamba mtu yeyote ama bodi yoyote inaweza kuibuka na title...
Nmehitim 4m4 mwaka Jana
Matokeo angu yakawa division 4 ya point 26
History D
English C
Literature C
Kiswahili D
Civics D
Geography D
Biology D
Mathematics F
Sasa nlikuwa Nina hamu ya kusoma...
habari humu ndani,nina mdogo wangu kamaliza four ila kapangiwa shule na comby ambayo hakuchagua. Na cha ajabu hata hiyo comby aliyopangiwa kwenye hiyo shule aliyopangiwa haipo.
Je inawezekana...
Ni miezi mitatu imepita tangu serilikakali itoe ajira za walimu za mwaka 2017. Inasikitisha kuona serikali hii inayojiita ya kazi tu, na inayojitapa kukusanya matrioni kwa kila mwezi, ikishindwa...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za Mafunzo ya Ualimu Ngazi ya Cheti na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
Masomo yanatarajiwa kuanza mwezi Septemba, 2017...
Naomba kuuliza kam kubadili combination inawezekan kutok art kwenda science kwa matokeo haya CCC kweny subjects combination
Msaada tafadhari kwa anaye fahamu
Jamani nina point tano za masomo katika kombi yang ya PCM yan A ya mathe zingine B nilikua nauliza kama kuna uwezekano wakuamia special xul maana nimechaguliwa shule ambayo binafsi sijaipenda na...
Jamani tusaidiane hapa katika kufahamishana, ni mbinu zipi ulizotumia hadi ukafanikiwa kupata scholarship ya kusoma masters au PhD yako. Kuna wengine tunaaaply kila mwaka na tunakosa, tafadhali...
Chumba chenye urefu wa sm10000 na upana wa sm4000 kitahitaji tiles(marimari) ngapi? iwapo tile moja ina umbo la mraba na upande mmoja una sm5?[emoji538] [emoji540]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.