Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za jioni Kamarada, Waswahili tuna msemo wetu "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo". Mimi nina kijana wangu ana about 5yrs, nataka nimtafutie shule ambayo inafundisha michezo na elimu nyingine...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini..poleni na shughuli za kila siku. Naombeni tofauti kati ya caldera na crater. Je ngorongoro ni crater or Caldera????
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanafunzi 499,274 asubuhi hii wanaanza mtihani ya kumaliza elimu ya kidato cha nne wakianza na somo la Hisabati ambalo kwa sasa ni kama janga la Kitaifa. Matokeo ya mwaka jana kitaifa kwa somo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini wakuu... Hii ni baada ya kubadilishwa kwa mfumo wa nacte kuwa NECTA. Wanafunzi wa vyuo vya ualimu vya serikali ikiwemo Mtwara (k) teachers college waagizwa kulipa fedha ya necta Hali ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1.Inawezekana mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne nchini Kenya kuja kuendelea na masomo ya chuo Kikuu nchini Tanzania pasipo shida au tatizo lolote lile 2.Nahitaji kujua kama necta wana matawi...
1 Reactions
9 Replies
882 Views
Natumai mko salama, naomba niende moja kwa kwenye swali Baada ya mheshimiwa kuingia madarakani alizuia uhamisho wa aina yoyote ili kupisha zoezi la uhakiki.Kwa bahati mbaya sijawahi kusikia kuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kutokana na kuanzishwa kwa shahada hizo, Mkuu wa Chuo, Dk. Henry Mambo, amewataka watumishi wa umma wenye sifa kuchangamkia nafasi hizo za masomo kwa manufaa yao binafsi na taifa kwa ujumla...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu ninaomba mwenye uwelewa na hali halisi ya maisha ya Lindi mjini vipi gharama za maisha na mengineo mahali pa kuabudia yaani makanisa. Asante. Na vipi maduka ya smartphone simu Maana...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kada zote Tanzania mtu anapoongeza elimu na kima cha mshahara pia huongezeka. Cha kushangaza katika kada ya elimu tu hiko kitu hakipo, tatizo ni nini mbona Walimu wananyanyaswa sana na kufanywa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimechagua kozi, say fifth choice, lakini nina div 1. Mwingine akachagua kozi hiyo hiyo ikiwa ya kwanza (first choice) ana div. 2. Kati ya hawa nani atapewa kipaumbele. My thinking ni kuwa kama...
0 Reactions
3 Replies
921 Views
Kwa bahati nzuri au mbaya nina watu wa karibu waalimu wengine shule za msingi wengine shule za sekondari. Kwakweli nakereka sana juu ya tabia za waalimu makazini Hawa watumishi hawapendani wao...
1 Reactions
133 Replies
9K Views
Picha hii ilipigwa na Fadhy Mtanga kwa simu yake ya kiganjani, baada ya mimi kumwomba afanye hivyo. Tulikuwa tumeketi mgahawani, ndani ya viunga vya uwanja wa ndege wa JKN, ndipo alipoingia mzungu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau wa Elimu Tanzania. Bila kupoteza muda,nimekuwa nikipitia Guide book ya NACTE mara kwa mara ili kutafuta kozi ya kusomea. Lengo langu ni kusomea CIVIL ENGINEERING ngazi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu chuo cha MUCCoBS [ Moshi University College of Cooperative and Bussiness Studies ] kinabadilika kuwa chuo Kikuu kamili ambacho kitaitwa MoCU[ Moshi Cooperative University] mabadiliko hayo...
3 Reactions
71 Replies
15K Views
wana jf naomba msaada kwan muda unakwisha wa maandalizi
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Inasikitisha kuona serikali hii inayojiita ya kazi tu, na inayojitapa kukusanya matrioni kwa kila mwezi, ikishindwa kuwalipa pesa za kujikimu walimu elfu 3 tu wa ajira mpya 2017. Sio hali ya...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari wadau, naomba msaada wa kudownload vitabu kwenye mtandao bure bila kulipia. Mfano Nataka kitabu hichi Principles of soil chemistry. Fourth edition by kim H.Tan Please naombeni msaada wetu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
naomba kujua kama mtu yoyote anakijua chuo cha nyamwezi ttc na kikoje ktk kozi kozi ya ualimu wa shule za msingi na maana mazingira yake,ufundishaji, na vitu vingine,,
0 Reactions
2 Replies
3K Views
et wadau nasikia pesa ya kujikimu katika mafunzo kwa vitendo kwa walimu(BTP) imepanda je ni kweli mwenye tetesi atujuze
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana bodi naomba kwa mara hii tu ya kwanza niseme kitu, nisikae kimya bure huku nisema pembeni kama majungu, kwa haya niyaonayo katika elimu na sera zake za sasa. Nataka kujua kama elimu yetu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom