Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wanajukwaa naomba kuelekezwa ni baada ya muda gani huwa ukomo wa form 6 kuomba nafasi za kujiunga na vyuo vikuu nchini
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Matukio ya watoto wa kike kupata ujauzito yanaongezeka. Kwa mujibu wa Takwimu za Elimu (BEST) wanafunzi 4,718 wa sekondari kwa mwaka 2012 na 3,439 mwaka 2015 walikatishwa masomo yao kwa sababu ya...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Ikunda Erick HabariLeo; Wednesday,October 10, 2007 @00:01 Hakuna asiyejua umuhimu wa elimu, na ili kuwa na maisha bora yenye mwelekeo ni lazima uwe umepitia ngazi mbalimbali za elimu ambazo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu hv undergraduate guide book ya 2017/18 ishatoka ama??
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari wakuu Napenda ulizia kwa yeyote mwenye kuifahamu/aliyesoma/ anayesoma/ hii course ya BSC.BIOMOLECULAR AND LABORATORY SCIENCE inayotolewa chuo kikuu SUA kuhusu msuli wake..,ajira...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Uzi huu ni kwa wale wote ambao wamefanya application kwenye kozi zote za Afya kuna mengi ya kushauriana, maswali juu ya kozi husika na maswali juu ya vyuo husika..!! Karibuni sana kwenye mwaka wa...
0 Reactions
255 Replies
70K Views
Kama kichwa cha Habari Leo nimeona niwakumbuke watanzania wenzangu hasa wale wanafunzi wa vyuo vyote kuepuka kupata Supplementary 1.jitambue wewe ni Nani hapo chuo umefuata nini. 2.Jione kuwa...
11 Reactions
43 Replies
6K Views
Tukiwa bado hatujaanza kutupa karata zetu kwenye mambo ya udahili 2017/2018 nilikuwa naomba msaada juu ya hii koz Ya oil/petroleum & gas ambayo haina miaka mingi Hapa tanzania Ktk vyuo...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Tuache unafiki kama kweli sisi ni wacha Mungu na tunaamini Mungu yupo, basi tuache kuwafundisha watoto wetu Darwin's evolution, tufute hii Mada, kinyume na hapo ni unafiki tu na kukesha Kanisani...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Umasikini wa mawazo ni kitu kibaya sana katika maisha ya mwanadamu. Hali hii humfanya mtu kushabikia kila kitu kinachosemwa na binadamu mwenzake hata kama ni cha hovyo. Juzi kiongozi fulani...
2 Reactions
6 Replies
934 Views
Habari wanajukwaa. Nimepangiwa CBG Dodoma secondary. Nilikuwa naomba ushauri kwa Mambo mwili. Mosi. Je nikisoma CBG uwanja wake ukoje katika kusomea professional? Pili. Je naruhusiwa kubadilisha...
0 Reactions
33 Replies
13K Views
Habar ndungu wana jf. Naombeni msaada wa kimawazo ni jinsi gani naweza badili course kwa mwaka wa masomo 2017/2018 ambapo awaki nilikuwa nasoma degree ya building economics ila sijaipenda kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu. Nimepata kusikia kidogo kuhusu kozi ya Doctor of Pharmacy(pharm D.) Naomba kufahamu kama kuna chuo tanzania kinatoa hyo koz au kama kuna mpango wa kuianzsha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni ufafanuzi kati marine technology na maritime technology
0 Reactions
5 Replies
909 Views
Habari zenu Wakuu Katika Matokeo Yangu ya Kidato Cha NNE nilipata F ya Mathe Na F Ya Physics na Sikufanya Paper La Chemistry Natamani nirudie mtihani Kwa Masomo Mawili P&Chemistry je Kanuni Za...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimesomea degree ya ualimu nikapata gpa ya 3.0 "lower second" kwa masomo ya kiswahili na political science. Kutokana na hali ngumu ya ajira nimeona niendelee na masomo ya masters. Je ni kozi...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Kuna uwezekano karibu vyuo vyote vya TZA vinazalisha vilaza wa kutosha kwani kwa mujibu wa takwimu la shirika la URAP (University Ranking by Academic Perfomance) inaonyesha ni vyuo viwili tu...
3 Reactions
156 Replies
16K Views
The right to education is a fundamental human right. Every individual irrespective of race, gender, nationality, ethnic or social origin, religion or political preference, age or disability, is...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Imezoeleka kwa miaka ya nyuma bodi ya mikopo huwa inaruhusu mapema tu watu kuanza kujaza form za mikopo. Naona mwaka huu ni bado kimya, au mwaka huu kuna utaratibu UPI? Kwa anayejua atujuze tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kuelekea kumaliza bachelor yangu nimebakiza wiki kama mbili ili nirudi mtaani niangalie natoka vipi kimaisha but nimeyashuhudia mengi sana ila leo ni base kwa upande wa akina dada 1. The...
8 Reactions
24 Replies
7K Views
Back
Top Bottom