1. UDSM
-Jakaya Mrisho Kikwete (66 yrs)
-Raisi mtaafu wa Tanzania
-Kateuliwa na Raisi Magufuli
2. UDOM
-Benjamin William Mkapa (78 yrs)
-Raisi mstaafu wa Tanzania
-Aliteuliwa na...
Viongozi wengi wakiwemo mawaziri, wakuu wengi Wa wilaya na mikoa wanalazimisha kuendana na staili za sizonje ili tu waonekane kuwa nao ni matingatinga lakini kiukweli wanajiaibisha. ukweli ni...
Habarini wakuu,
Kijana wangu namtafutia shule ya private yenye michepuo ya sayansi yani CBG,kwa anaejua/fahamu shule yenye karo nafuu kwa maisha ya sasa ya mtanzania yenye mchepuo huo tajwa hapo...
Habari za muda huu wana jukwaa,
Bila kupoteza muda,Nina mpango was kwenda kuonana ana kwa ana na prof.Ndalichako ili nimueleze matatizo yangu na nia yangu ya kujiendeleza Kimasomo.Ada za vyuoni...
Urgent and concerted effort is needed to rescue students in higher learning institutions from contracting HIV/Aids, a survey has revealed.
A survey conducted by The Guardian between February 11...
Habari wana jf, naomba kufahamishwa kuhusu elimu ya vyuo vikuu vya uganda, kikubwa nachotaka kufahamu ni je, wako vizuri katika kufundisha? na kwa upande wa technologia kama computer science na...
Habari za majukumu wakuu kuna jambo hili la advanced level kwa combination za sayansi na ndoto za udaktari kweli mimi sijawahi kuiamini structure ya advanced level kwa sayansi kama imesaidia watu...
Habari
Ninahitaji wataalamu wa historia ya tanganyika watakaonisaidia kuelezea mambo mbali mbali(makabila/ machifu/ tanganyika kiujumla n.k) katika makala nayoiandaa hivi karibuni.
Tafadhali...
BENKI ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 80 kwa ajili ya kusaidia mpango wa Serikali wa miaka 11 wa Elimu bila malipo kuanzia elimu ya msingi hadi...
Matokeo yametoka leo mchana, Mimi ni mmoja wa walio piga pepa kwa mara ya kwanza may kwa intermidiate stage, Sina haja ya kusema tumefeli maana wengine wamefaulu vizuri tu na sina haja ya kusema...
Chess ni mchezo ambao huchezwa na watu wawili ni mchezo wa kufikiria sana na watafiti wa mambo wanadai unauwezo wa kuongeza uwezo wa kufikiri,kufanya maamuz sahihi kwa sababu kuucheza unatumia...
habari zenu wadau naomba mnisaidie.
kujua ni short course gani ambazo zinaweza kumsaidia mtu kuiongezea uzito CV yake. online au evening classes?
asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.