JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*
Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu.
Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN,
•...
Asalaam wana JF;
Nipo njia-panda wadau nisadieni jinsi ya kupata joining instruction ya form five ktk shule ya Borega - Mara. Kuna blog fulani najaribu ku-download inagoma.
Asanteni.
Wakuu nawashukuru sana kwa ushauri wenu kiukweli nilikuwa nimekata tamaa ya kufaulu kutokana na theory niliyojiwekea ya kuwa ni ngumu ila baada ya wadau mbalimbali kutoa ushauri nimeamua...
Mimi hapa mpenzi wa sanaa hasa maigizo na ngependa hata kwenda kusoma chuo cha sanaa. Kama unajua course ambazo ni nzuri ili nitimize ndoto zangu hebu nakuomba basi brother&sister & mather and...
Habari za Wakati huu wana Jamii, nimechaguliwa na TCU kufanya mtihani wa RPL ambao utafanyika jumatatu ya wiki ijayo 10th July, Kwa wenye experience na huu mtihani naomba msaada kujuzwa ni aina...
Wakuu Mimi Nina mtoto wangu anakaribia kuanza Shule...Nilikuwa napendelea asome Shule ya binafsi ya msingi yenye matumizi ya lugha ya kiswahili, maana naona Shule nyingi ni lugha ya kingeleza..je...
Habari za usiku JF....
Naomba kusaidiwa na wahusika hapo juu, naulizia Shule ya serikali iliyopo Ilala ambayo haibani sana watumishi kwa maana kuwa baada ya kutekeleza na kukamilisha majukumu...
1.0. UTEUZI KIDATO CHA 5 – AWAMU YA PILI 2015
Ufaulu wa watahiniwa Kidato cha Nne kwa mwaka 2014 kuanzia daraja la Distinction hadi Credit yaani GPA ya 5.0 hadi 1.6 ni watahiniwa 73,754...
Mfumo wetu wa elimu tuanoutumia huwa unanipa maswali mengi sana kwa sababu walengwa wa mfumo huu hautujengi kuwa na wazo mbadala zaidi ya ajira serikalini na pia hata ukipata wazo la kujiekeza au...
Kwema wana Jf...?
Nilikua na omba kujulishwa vyuo vinavyo toa course ya mining,oil and gas kwa ngaz ya degree.
Na je... M2 aliye soma HGL advance anaweza kusoma course hiyo au..?
Wastani aliopata ni civics D, History D, Geography D, English C, zilizobaki zote ni F
Je, huyu Veta atapokelewa akiapply course gani, kama anaweza soma course yoyote ni ipi nzuri kwa wakati wa...
Habari wana JF,
Naomba niende kwenye mada nataka kuwa fundi wa gari langu ndogo je itawezekana kwa kujifunza kozi ya ufundi miezi 3. Je ni wapi wanatoa kozi hiyo kwa muda huo, asante kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.