Habari wadau wa jukwaa hili pendwa...
Nauliza kuhusu hii Diploma ya ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION, ina bachelor degree hapa Tz hasa pale nyumbani kwetu SUA..
Au
Nikiwa na Diploma...
Habari wakuu..
Samahani mimi ni mwanafunzi nimeaplly course za afya kwa ngazi ya diploma swali langu masomo ya clinical medicine yamekaaje na changamoto zake ni zipi je upatikana wa GPA upo...
wana Jf naomben mnisaidie juu ya kujua cfa za kujiunga n vyuo mbli mbli vya ustaw wa jamii na baada ya kujua hyo naomb mnifahamishe vyuo hvyo vinahusian na nn na nafas za ajira baada ya kumaliza...
Habari zenu wana jukwaa,
Mimi ni muhitimu wa kidato cha 6 mwaka 2017 HGK combinion.Naomba ushauri ni faculty gani ya arts ambayo nikisoma naweza kujiajiri mwenyewe au kuajiriwa? Naomba maelekezo...
Habari zenu
Nahitaji kufahamu shule za watoto wenye mahitaji maalum hasa upande wa akili yaani una utahira flani ila sio sana naomba kujua hizo shule kwa hapa dar iwe private au ya serikali.
Asanteni.
nawakaribisha ma-engineer wote kujadili mambo ya msingi na tuweke mikakati nini kifanyike na changamoto zilizopo ili mambo ya sayansi katika nchi yetu yapige hatua.
KARIBUNI KUTOA maelekezo hapa...
*vita vya adwa*
Hivi ni vita vilivopiganwa kati ya Ethiopia na Italia, mnamo mwaka 1896.
Kwa wakati huo, ethiopia ilikuwa ikijulikana kama "Abyssinia" na ilikuwa ikiongozwa na mfalme menelik wa...
Vyuo Vyatakiwa Kutuma Majina ya walimu watarajiwa kwa masomo yote kwa wale wahitimu 2015/2016 na wale wa mwaka 2016/2017
Bofya hapa Breaking News: VYUO VYATAKIWA KUTUMA MAJINA YA WALIMU - ARTS...
Wanaohitaji 'tuition' kwa masomo ya physics, chemistry, biology Na basic mathematics kwa 'form one' mpaka 'form four', au 'tuition' ya masomo ya physics, chemistry Na biology kwa form 5 & 6...
Habar JF
Kama kichwa cha habari kinavyojifafanua ningependa maelezo juu ya hii course kwa kuangalia vigezo, chuo na ushauri kiujumla
Karibuni waungwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu vyuo vya ualimu vya serikali vinavyo pokea maombi ya Diploma ya secondary kwa sasa.
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Anayejua vyuo vya private vinavyotoa kozi ya ualimu wa secondary kwa masomo ya arts aniambie nataka kufanya application
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani wapendwa, mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata division three ya 14. Nahitaji msaada wa kuendelea na elimu sababu naishi kwenye maisha magumu. Walau nipate mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.