Habari ndugu zangu,
Naombeni kujulishwa juu ya gharama na taratibu za malipo kwa masters ya procurement kwenye chuo kikuu cha Mzumbe kwa campus ya Dsm, nimejaribu kusearch kwenye website yao...
Ni baada ya chuo cha Kampala International University (KIU) kuwepo kwenye orodha ya vyuo ambavyo vimefungiwa kudahili mwaka huu iliyotoka tcu, Afisa masoko wa KIU katoa MREJESHO huu pale...
Waziri wa Elimu wa Kenya, Fred Matiang'i ameamuru vyuo vya Kenyatta University(KU) na Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology(Jkuat) matawi ya Tanzania na Rwanda Kufungwa.
Hii...
Ndugu wana jf poleni kwa majukumu kuna ndugu yangu amehitimu form four mwaka 2015 na alipata III 25 CIV D ENG C PHY D KISW C BIOS D HIST D CHEM C GEO D B/MATH D lakini uwezo wa kusoma private...
Habarini za saizi? Naombeni mnijuze Wadau, katika application ya chuo kikuu pale kwenye priority ni lazima ujaze zote? Na inakuwaje kama hakuna course nyingine inayoendana na sifa ulizo nazo? Kwa...
Habari zenu wanajamvi,
Ningependa kuuliza kwa wale wazoefu na chuo cha UDOM hivi nafasi kwa upande wa CIVE (Telecommunication engneering) huwa zinajaaga?
Sababu ya kuuliza ni kwamba nahitaji ku...
Wanafunzi ambao walichaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano awamu ya kwanza walishaanza masomo yao zaidi ya mwezi mmoja sasa. Lakini wale ambao majina yao yalitoka kwamba watapangiwa shule...
Naomba kujua kwa mtu atakaye fanya kaz TFDA( ukaguzi wa vyakula) anaweza kusoma koz gani na vyuo gan vinatoa koz hiyo kwa ngaz ya diploma ??
Msaada wa mapema unahitajka plz...
Sent using Jamii...
Hallow guys. Jina langu ni meshack Meshach mebamto mtobwa.
Nina mada ndogo ila muhimu sana ninacho kuomba usitukane wala kutoa maneno machafu changia points.
Napendekeza kuwe na uniforms (SARE)...
Inasikitisha kuona kwamba tuna vyuo vya kata siku hizi
Vyuo vingi binafsi haviwekezi kwenye wataalamu namaanisha wahadhiri. Hata baadhi ya vyuo vya serikali tatizo lake havina wataalamu...
Ingawa barua tuliyo ona jana ni kwa vyuo vya umma ni ukweli kwamba Chuo cha SAUT kimerekebisha application fee yake toka sha 30,000 hadi 10000. Na chuo cha Stella Maris College Mtwara nao...
Kwa wale wanaohitaji vitabu vya geography kidato cha 3 na 4 pia vitabu vya watoto wadogo na hata wakubwa wasiojua kusoma na kuandika vinapatikana kwa urahisi.
Vitabu viko katika SOFT COPY na HARD...
Leo wakati rais anarudi kutoka kwenye ziara za Mikoani, Amesimama Tegeta na Kuzungumza na Wananchi. Haya ni baadhi maneno aloongea;
“Kwenye madini tumeibiwa sana, nchi yetu ni kati ya nchi...
Leo nimefanya transaction ya University enrollment kupitia M pesa kw muongozo wa Max Malipo lakini cha ajabu muamala umekamilika lakini chuo akitambui malipo yangu.
Nimewasiliana na Voda huduma...
Taarifa kwa jumuiya ya kampala international university in Tanzania ( KIUT)
Kutokana na mapungufu yaliojitokeza kwenye undergraduate admission guide book 2017/2018 kwa kutokuwepo kwa chuo chetu...
Natamani kujua ada ya
Certificate
Diploma
Degree
Kwa course ya IT kwa chuo cha UDSM na UDOM kwa wanao fahamu na gharama za HOSTEL kwa mwaka.
Na vyuo vingne vilivyopo dar vinavyo fahamika...
Wana JF Education forum nilikuwa naomba anayejua sheria na taratibu za kufuata ili kuruhusiwa kuandika vitabu vvya masomo mbalimbali kwa level yoyote ya elimu tanzania isipokuwa UNIVERSITY LEVEL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.